Grey king

Grey king

Share

No why just do

21/06/2024

😭😭😭😭😭

10/04/2024

Uzuri WA maji ni nini ukiwa beach ⛱️🏖️

30/01/2024

Bado ni mwaka mpya nguvu za soda zipo mwaka....

30/01/2024

Ardhi ni mtaji katika biashara ipi au ni...

30/01/2024

Hii Una patikana wap

30/01/2024

Unaweka shingap kwenye kichwa Cheney "F"

03/01/2024

Mwendelezo wa story ya Beka Flavour na baby mama wake Happy, baada ya Happy kukiri kuwa yupo tayari kurudi kwa Beka lakini kwa sharti moja la Beka kwenda kupeleka mahari kwanza nyumbani kwa mrembo huyo.

Kupitia mahojiano aliyoyafanya na kituo cha Clouds FM jioni ya leo Beka amefunguka kuwa mwaka jana alikuwa kwenye mchakato wa kukamilisha kigezo hicho lakini akashindwa kutokana na projects zake za muziki, lakini pia zaidi ikiwa ni kiwango cha mahari kuwa kubwa sana.

Beka anasema mahari inayohitajika kwaajili ya kumuoa Happy ni karibu Tsh. Milioni 22 kiasi ambacho kwa uwezo wake ni kikubwa mno.

03/01/2024

Hii imekaaje 😀😀😀😀
D voice

30/12/2023

Waaa look how this shop is stock with nice drinks.

19/12/2023

Mkoa gan tz huwaambii kitu kuhusu BEST NASO?

😜😜😜😜😜

19/12/2023
Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address

Dar Es Salaam