Tiki-Taka

Tiki-Taka

Share

karibu katika ukurasa wa Tiki-Taka kwa habari mbalimbali za michezo na uchambuzi

13/07/2026

Huko nchini Peru watoto 468 waliozaliwa mwezi huu wamepatiwa jina la Haaland huku watoto 91 kati ya hao wakipewa jina zima la Erling Haaland.

Haaland k**a wote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

02/07/2026

Nilichokiona kwenye mechi Ya ENGLAND dhidi Ya DR CONGO

Timu zote mbili zilianza mechi kwa kasi lakini baada ya DR CONGO kupata Goli kupitia shambulizi la kushtukiza lililomaliziwa na Cipenga mapema tu kipindi Cha kwanza.

baada ya kurejea kipindi Cha pili DR CONGO waliamua kukaa nyuma na kucheza kwa mfumo wa LOW BLOCK

ndio kocha Thomas Tuchel alipoamua kufanya vitu vifuatavyo Ili kuifungua DR CONGO

1️⃣ kutumia mipira yakutengwa (Set Pieces) k**a vile Kona na Foul.

2️⃣ Kutumia maeneo ya Pembeni (Wide Areas & Overlapping Full Backs) ambapo mashambulizi haya walitumika mawinga k**a Noni Madueke na Marcos Rashford. ambapo baadae wakatolewa kupisha Saka na Anthony Gordon.

3️⃣Kupiga mashuti Katika maeneo ya karibia na Boxi au karibu Zaidi (Shooting From Distance )

4️⃣ Pasi fupi za haraka (Quick short passes and Combination Play ) hii ilipelekea Uingereza kupata Goli la pili alilofunga Harry Kane akipokea assist kutoka kwa Anthony Gordon.

DR CONGO hawakua na Quality k**a ya ENGLAND lakini naamini walikua na uwezo wakuifunga ENGLAND ila kushindwa kwao kutumia nafasi zao na kuchagua kuzuia muda wote.

22/06/2026

kuna muda unatamani kuandika ila unakosa chakuandika kwa sababu Performance ya Lionel Andres Messi inajulikana na Kila mpenda soka itoshe kusema tumebarikiwa kupata nafasi yakutizama mchezaji mwenye uwezo mkubwa kiasi hiki .......kwangu Mimi Huyu Ndie Greatest of All Time .(G.O.A.T).

Photos from Tiki-Taka's post 18/06/2026

Kila ukurasa wa michezo ulijaribu kutumia Hat trick ya Messi kujipakulia minyama .....

Mimi nikiwemo 😁😁😁.

in English : Zei wanti tu tumia Messi to get ze likes comments na viuwazi 😜

Photos from Tiki-Taka's post 17/06/2026

Mwamba Cristiano Ronaldo pamoja na Mtaalam Lionel Messi .....wananembo maalumu katika jezi zao zikidhihirisha ukubwa wao katika soka .....πŸ™Œ

Wachezaji Bora zaidi kuwahi kutoka kwenye uso wa Dunia .....

CRISTIANO RONALDO NA LIONEL MESSI

MICHUANO HII INAWEZA IKAWA YA MWISHO KWAO KUWEPO KWENYE NGAZI YA TIMU ZA TAIFA.

16/06/2026

Mnamo mwaka 2019, wakati Roberto Lopes alipokuwa akichezea klabu ya Shamrock Rovers katika Ligi ya Ireland, alipokea ujumbe kutoka kwa Shirikisho la Soka la Cabo Verde. Wakati huo, shirikisho hilo lilikuwa likifanya msako mkubwa wa wachezaji wenye asili ya visiwa hivyo wanaocheza nje ya nchi ili kuimarisha kikosi chao. Ujumbe huo uliotumwa kwenye LinkedIn uliandikwa kwa Kireno, lugha ambayo Lopes hakuwa akiifahamu kabisa. Kwa sababu hiyo, alidhani ni ujumbe wa utapeli (spam) na akaamua kuupuuza.Miezi tisa baadaye, kocha wa timu ya taifa alimtumia ujumbe mwingine, lakini safari hii kwa lugha ya Kiingereza. Baada ya kutumia zana ya kutafsiri mtandaoni, aligundua kuwa alikuwa akiitwa rasmi kuichezea timu ya taifa ya Cabo Verde. Hakuwa na mashaka, akajibu ndiyo kwa furaha kubwa.

13/06/2026

Somalia wanatufundisha kuwa mpira unaweza kuchezwa na wasichana wakiwa na stara zaoβœ…πŸ™

Binafsi navutiwa sana wanawake wakibaki hivi kwenye asili yaoβœοΈπŸ™

Haya mengine wanayojiamulia hawa wadogo zetu mnaweza kuwaambia k**a kweli tunajali kesho zao!

Sifutiβœ…

MR PERFUME

imeandaliwa na Nazareth Upete

30/05/2026

πŸ“Ί Kutakuwa na angalau KAMERA 40 uwanjani kwa fainali ya Ligi ya Mabingwa Jumamosi hii, zikitoa ishara ya 1080p50 kwa watangazaji. πŸ†

29/05/2026

Lionel Andres Messi πŸ™Œ

25/05/2026

𝕀𝕄𝕄𝕆ℝ𝕋𝔸𝕃𝕀℀𝔼𝔻 𝕀ℕ β„π•€π•Šπ•‹π•†β„π•! Noti ndogo ya toleo la Β£20 yenye picha ya kiki ya Scott McTominay dhidi ya Denmark imezinduliwa na Benki Kuu ya Scotland, kusherehekea kurejea kwa nchi hiyo kwenye Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza tangu 1998 🏴󠁒 Vidokezo hivi vitanyakuliwa kupitia minada ya mtandaoni, droo ya zawadi na "vaults" mbili za pop-up. Bao maarufu lililoifungia Scotland kufuzu kwa Kombe la Dunia sasa ni zabuni halali. Utambuzi wa wasomi kabisa kwa kiungo! πŸ€©πŸ’Έ ℹ️heraldscotland

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Dar Es Salaam