mnkencharles sports news

mnkencharles sports news Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from mnkencharles sports news, Sports League, Dar es Salaam.

πŸ”₯ VITA YA UFUNGAJI NBC PREMIER LEAGUE!  Jean Ahoua anaongoza kwa mabao 16, lakini mzigo uko karibu! 🎯  Mzize, Ateba & Pr...
21/06/2025

πŸ”₯ VITA YA UFUNGAJI NBC PREMIER LEAGUE!
Jean Ahoua anaongoza kwa mabao 16, lakini mzigo uko karibu! 🎯
Mzize, Ateba & Prince Dube wote na mabao 13 – hakuna kulala! πŸ₯΅
Mukwala naye yupo radar na 12, nani atatwaa kiatu cha dhahabu? πŸ‘ŸπŸ†

Umeelewa nini??
15/06/2025

Umeelewa nini??

πŸ”“ RASMI IMEFICHULIWA!  Maxi Mpia Nzengeli bado ni mali kamili ya AS Maniema ya DR Congo! πŸ‡¨πŸ‡©β›”οΈ  ➑️ Amekuwa kwa mkopo Yang...
15/06/2025

πŸ”“ RASMI IMEFICHULIWA!
Maxi Mpia Nzengeli bado ni mali kamili ya AS Maniema ya DR Congo! πŸ‡¨πŸ‡©β›”οΈ

➑️ Amekuwa kwa mkopo Yanga SC, na mkataba huo unakamilika mwisho wa mwaka huu.
🟑 Yanga wametoa ofa ya $200,000 kumchukua moja kwa moja β€” lakini Rais wa Maniema bado hajajibu.

βœ… Yanga sasa wanataka mkopo wa miaka miwili zaidi.
⚠️ Hata hivyo, Maniema wanangoja ofa bora kutoka vilabu vingine.

Nzengeli yuko wazi kubaki au kuondoka β€” huku vilabu kutoka Afrika Kusini na Morocco vikimvizia.

Mchezaji wa kufuatilia kwa makini katika dirisha hili la usajili! πŸ‘€


Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when mnkencharles sports news posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share