01/06/2026
-Azam Fc wameshikilia hatma ya makombe yote ya Yanga msimu huu...Simba wanamtazama Azam Fc k**a timu pekee itakayomzuia Yanga kwenye mbio za Ubingwa wa ligi na FA
Je, Azam Fc wanaweza kuibeba hiyo dhamana?
...
01/06/2026
Mwezi Mkubwa kwa Wananchi🔰💪🏽
...
01/06/2026
🚨𝐄𝐗𝐂𝐋𝐔𝐒𝐈𝐕𝐄: Yanga watakuwa bize sana kwenye hili dirisha kubwa la usajili.
Wacheza 6-7 wapya wa kigeni watasajiliwa……Yanga watakuwa bize sana.
...
31/05/2026
Star boy tafadhali acha kutuharibia Vijana wetu😁😁 Kwani kabla yako huyo hakuwa hivyo😂
...
31/05/2026
Maisha ni fumbo kubwa sana✍️
Mbappe kaitumikia PSG msimu 7 bila kushinda UEFA,akaona hapa siyo sehemu sahihi ya kunipa UEFA na Ballon d’Or,kasepa zake Real Madrid.
Baada ya kujiunga na Real Madrid huku PSG wakashinda UEFA na mchezaji wao Dembele akabeba Ballon d’Or,k**a haitoshi PSG jana wameongeza UEFA ya pili mfululizo na pengine Dembele anaweza kushinda Ballon d’Or ya pili mfululizo.
Huku kwa Mbappe mambo ni Magumu,NO UEFA,NO Ballon d’Or,NO Laliga na mbaya zaidi mashabiki milion 30.3 wa Real wamesaini kampeini ya kumfukuza Mbappe huku wakimuita Dictator😎
Maisha ni fumbo kubwa sana,muombe Mungu akupe uchaguzi sahihi🙌
31/05/2026
Hongereni sana mashabiki wa kwa kuwa mabingwa wa msimu huu.
😁😁😁
30/05/2026
Chumaaaa PSG 1 Arsenal 1 🔥🔥🔥
30/05/2026
Mmmhh jamaniii... Mbona K**a vita ya mtaa kwa mtaa mmekuja na MAGOBOLE tena Wananchi😁
...
30/05/2026
Chumaaaaaa arsenal 1 🔥🔥🔥🔥
30/05/2026
Kikosi Kazi cha Arsenal dhidi ya PSG kwenye fainali ya ligi ya mabingwa barani ulaya.