SalDeco

SalDeco

Share

SalDeco is a Tanzanian company providing uPVC profiles for windows and doors, Balustrade, Natural Stones, Interior Design, Paving Blocks, Furniture...

SalDeco is a Tanzanian company providing uPVC profiles for windows and doors, Balustrade, Natural Stones, Interior Design, Paving Blocks, Furniture and swimming pool services.

Photos 12/10/2016

Office Partition with uPVC profile. Contact +255755561557

Photos 19/09/2016

uPVC sliding windows double glass. Kazi ikiendelea Moshi, Kilimanjaro. Please follow account yetu instagram or 0755 561557

Photos from SalDeco's post 10/03/2016

Salama Jamani?

Baada ya mvua za rasharasha ni siku nzuri ambayo jua limependezesha mandhari yetu na kukausha vidimbi vinavyosababisha wenye magari kuwa mwagia maji machafu watembeao kwa miguu, ila si haba yote ni maisha...

Hebu tazama namna ofisi hii ilivyopendeza, ni baada ya kazi bora iliyotengezwa kwa malighafi za kituruki zenye kuvumilia hali zote... Fanya kazi nasi tupendezeshe ofisi yako kwa madirisha au milango ya uPVC... Karibu sana

Photos from SalDeco's post 26/10/2015

Habari zenu Wapendwa, Tanzania tunajivunia amani yetu..

Ni miongoni mwa masiku yaliyokuwa yakisubiriwa sana huku mchakato wa kuchagua viongozi ambao tumewaridhia ukiwa mbele yetu... Lakini pia hii imekuwa sura tofauti kwa mteja wetu na kuamua kung'arisha nyumba yake kwanza...
Usisubiri uone kwa mwenzio, ni kazi yenye ubora wa hali ya juu "Balustrade" ( Hand railing) ikiwa tayari imewekwa kiustadi wa hali juu na mafundi waliobobea..

"Ni zamu yako sasa".... Fanya nasi
Uchaguzi Mwema, Tanzania yenye amani..

Photos 03/10/2015

Haya Sasa
Hivi unaanzaje kuhifadhi nguo ambazo zinausitiri mwili wako na kukuweka nadhifu mahala pabaya?!...
Ashura anazimwaga chini,
Noeli naye anaziweka kwenye Tenga,
heri ya hawa, Sikuambii,
hebu Ona Kidawa anapoziweka Yaani Chini Ya uvungu...
Hizi tabu zote za nini?...
Pata kabati safi kabisa na kwa bei nafuu kutoka kwetu.. Huwa Hatukoseagi bana

Photos from SalDeco's post 25/09/2015

Well, Well, Well
Habari zenu wapendwa...

Hakika tunafahamu fika kuwa wengi wanaojenga hupata urahisi mno wa kuinua majengo yao kufikia kukamilika, lakini tatizo kubwa linakuja katika umaliziaji yaani "FINISHING"...
Hujapotea Kabisaaa
Karibu Shams Limited tukufanyie yote uyatakayo katika umaliziaji wa nyumba yako, ni "Interior design na House Decoration"..
Karibu tuipe sura mpya nyumba yako

Photos from SalDeco's post 03/09/2015

Habari Tanzania......

"Ni Kweli Kabisa"
Ni ukweli usiopingika katika dunia ya sasa kuwa madirisha ni miongoni mwa kivutio kinachofanya nyumba kupendeza..... Hii ni kazi iliyotayari kabisa na mteja akiwa anasubiria madirisha yake bora na yenye mvuto kwa ajili ya nyumba yake.....
Wala hujachelewa njoo kwetu uweze kupata huduma hii kwa madirisha ya aina zote Aluminum na uPVC...

Karibu sana.....

Photos from SalDeco's post 01/09/2015

Hakika ukiona kizuri ujue kimeundwa:
Hivi unadhani unapoona muundo wa madirisha ya kisasa yakiwa yamewekwa katika nyumba nzuri ya watu, unafikiriri yameezekwa tu bila usanifu?
Usiote tafadhari, tunayo hapa.

Tuna mashine maalumu kuajiri ya kukata, kutoboa na kuchomerea madirisha ya PVC kwa ufanisi na haraka sana.

Offer:
Lete mteja upate fedha taslimu TSh500,000/= k**a zawadi.

Photos from SalDeco's post 05/08/2015

Habari zenu wapendwa...
Hii ni miongoni mwa kazi makini iliyofanywa kisanifu na ubora wa hali ya juu.... Balustrade tutafute sasa kupitia tovuti yetu au namba zifuatazo
+255787 255 814
+255767 201 112

Photos from SalDeco's post 27/07/2015

Habari ya asubuhi?
Tazama namna tulivyobadili ofisi hii kuwa ya mvuto zaidi...
Wasiliana nasi.

Photos 17/07/2015

HAPPY EID MUBARAK TO ALL MUSLIMS IN THE WORLD 2015

Ni furaha iliyoje kwa waislamu wote kwa ujumla tukiwatakia heri ya sikukuu ya "Eid Al-Fitr"... Ni faraja kwetu k**a Shams Limited na uongozi wake kwa ujumla kufurahia sote.

Ushauri: Jamani siku hii ni tukufu tujilinde sana na kumuasi Allah kwa yale ambayo hayatakiwi kuyafanya kwani tunaambiwa kuwa, "Atakaye fanya dhambi sikukuu ya Eid, basi ni sawa mtu huyo amefanya siku ya Qiyama..

EID MUBARAK..... 2015

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address

Dar Es Salaam
255