Wakongwe Bado Tupo!
wakongwe jogging club & community
Wakongwe Jogging club & community
ni klabu ya kizawa kutoka Mbande-Chamazi
15/11/2025
Katika kukaribisha siku hii pendwa ya jumamosi tarehe 15/11/2025 WAKONGWE tumeamua kufanya mazoezi ya viungo an arobics palepale New kakonko launge
BILA KUSAHAU BIRTHDAY YA MKONGWE MWENZETU DJ.MANYWELE
Karibuni sana ujumuike nasi leo kwa maendeleo ya mazoezi yako...
.NA.KAKONKO
.TUPO
Jambo la kuzingatia 📌
27/09/2025
Pongeza kwa Jogging yetu ya Wakongwe Jongging Club & Community kufikisha mwezi mmoja mpaka sasa haikuwa rahisi tunamshukuru Mungu 🥳🥳🥳🥳🥳
20/09/2025
Matukio ya picha katika kilele cha kakonko Bonanza 2025. 🏃♂️🏃♀️
07/09/2025
Safari ya kilomita elfuu moja, huanza na atua moja.
Kila hatua ya wakongwe jogging club & community
Imebeba juhudi thabiti kujenga mafanikio ya wote karibuni sana WAKONGWE...( AFYA, UTU, na MSHIKAMANO)
Abrah Ibrahim Mwalimu Gombera Dullah Tapa Tunu Lugombe Efm Jogging Temeke jogging association TEJA Calfonia YA Upendo Club Tz Club Jogging Updates
Furaha ya wakongwe jogging club & community ni kuona inazidi kukua kwa kila hatua tunamshukuru Mungu maana yeye ndio muweza wa yote (AFYA, UTU, USHIKAMANO) tunasonga mbele...karibuni WAKONGWE JOGGING CLUB- MBANDE CHAMAZI
Temeke jogging association TEJA Efm Jogging Efm Jogging Club Chamazi
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam