31/07/2026
π°π°π° Kocha anamhitaji beki wa kati raia wa Ivory Coast Farouk, wageni wameshafika idadi au bado?
Wapambanaji wetu wa kesho π°π°π°π°
31/07/2026
π°π°π° Kocha anamhitaji beki wa kati raia wa Ivory Coast Farouk, wageni wameshafika idadi au bado?
31/07/2026
π°π°π° Mlinzi wa Kulia wa Yanga SC Yaokouassi Attohoula ameanza safari ya kurejea nchini Tanzania kwaajili ya kuja kujiunga na timu yake ya Yanga SC
Ikumbukwe Yao ni miongoni mwa wachezaji walioongeza mkataba ndani ya kikosi cha Yanga akiwa amesaini kandarasi mpya ya miaka miwili.
31/07/2026
π©π¨β¬MWANANCHI! Unaifuatilia timu kubwa ya Young Africans kutokea mkoa gani wa Tanzania? πΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
π°π°π° Hawa wote hawatakuwa sehemu ya Kikosi Chetu Msimu Ujao Kwahio Tuombe Mungu πππππ
π°π° Ila Semaji wetu Anajua kuwakela π€£π€£π€£π€£
31/07/2026
π¨ DEAL DONE! β
Klabu ya Young Africans SC (Yanga) imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji raia wa Congo Brazzaville, Duval Fred Ngoma (27) kwa mkataba wa miaka miwili. βοΈπ¨π¬
Mchezaji huyo anatarajiwa kutambulishwa rasmi na klabu muda wowote kuanzia sasa.
Karibu Jangwani, Duval Fred Ngoma! π₯
31/07/2026
Ni Muda wa kuchafuwa hali ya hewa sasa
30/07/2026
π°π°π° Leo nimekutana na tetesi za huyu Mchezaji kutoka Congo π¨π¬π₯
FRED NGOMA π¨π¬β½
Kiungo mwenye uwezo wa kucheza nafasi ya Defensive Midfielder s
PROFILE YAKE:
π¨π¬ Taifa: Congo
π
Kuzaliwa: 24 Novemba 1997
β½ Nafasi: Kiungo mkabaji / Kiungo wa kati
π Urefu: 1.73m
ποΈ Klabu: Olympique Club de Safi
30/07/2026
π°π°π° ππππππππ: Muda wowote Kuanzia Sasa Yanga watamtambulisha kiungo namba 6 wa Olympique De Safi ya Morocco raia Congo Brazzaville,Fred Ngoma (28).
Tayari nyota huyo amekubaliana na Yanga kila kitu soon ataingia Tanzania kusaini miaka miwili na kutambulishwa kWa Wananchi.
Msimu uliopita nyota huyo alikiwasha sana kwenye kombe la shirikisho Africa.
30/07/2026
π°π°π° SWALI KWA WANANCHI ππ
Kwa mujibu wa tetesi zinazoendelea kusambaa, unadhani ni nani ana nafasi kubwa ya kuvaa jezi namba 6 Yanga?
π’ Alphonce Mabula
π’ Feitoto
π’ Mwingine ?
Toa maoni yako n. ππ₯