29/09/2025
Kwa akili ndogo tu,
moloko na kikosi Cha simba ni vitu viwili tofauti, uwezo wake ni mdogo kuiongoza simba sc,
Timu inacheza vibaya anashindwa kufanya sub zenye tija ili kuituliza timu.
Na tukisema tumpe muda Kuna siku tutalia na kusaga meno