21/04/2026
Imefichuliwa: Jürgen Klopp, Mauricio Pochettino na Didier Deschamps ndio makocha wanaoongoza kupewa nafasi k**a Real Madrid wataamua kutompa nafasi ya kuendelea Álvaro Arbeloa, kwa mujibu wa .
“Meneja wa timu ya taifa ya Marekani, Mauricio Pochettino, bado ni chaguo kubwa, anaheshimika sana na Florentino Pérez, na mkataba wake unaendelea hadi baada ya Kombe la Dunia la majira ya joto,” ripoti hiyo inaeleza.
“Jürgen Klopp pia anawavutia viongozi wa Madrid, ingawa yeye na wakala wake wamekuwa wakikanusha taarifa hizo mara kwa mara, wakisema ameridhika na nafasi yake ya sasa katika Red Bull.”
“Didier Deschamps pia ametajwa k**a mgombea. Kocha huyo wa timu ya taifa ya Ufaransa amekuwa madarakani tangu 2012, na mkataba wake unaisha baada ya Kombe la Dunia.”
16/04/2026
**“⚽🔥 MECHI YA PRESHA NA HISTORIA ⚖️
Anthony Taylor amechaguliwa kuchezesha pambano kubwa kati ya Manchester City na Arsenal.
Lakini mashabiki wengi wanakumbuka…
👉 maamuzi tata
👉 penalti za utata
👉 kadi zilizobadili mechi
Sasa kwenye mbio za ubingwa, kila uamuzi una maana kubwa sana 👀🔥
Swali ni moja tu:
👉 Unamuamini kuamua mechi hii? 🤔💬
Maana wakati mwingine… mpira hauamuliwi na wachezaji pekee.”**
15/04/2026
Watu wangu wa nguvu sasa leo ndio ile sikuu sasa
Tupa karata yako mapema sana
Usilaumuu mtu baadae
Possible odds 💰💵
❤️Bayen 2-0 Real Madrid🤍
28/03/2026
NICO PAZ KWENYE LEVEL NYINGINE 🇦🇷🔥
• Kwanza, bao zuri sana la free kick akiwa na Argentina.
• Ameshiriki magoli 17 (G/A) akiwa na Como ndani ya Serie A chini ya Fabregas.
• Real Madrid bado wana udhibiti wa mustakabali wake.
Nico Paz amekuwa akicheza soka la kuvutia sana akiwa Como, akipiga golazo pale Bombonera ya kihistoria… bado kuna mengi yanakuja.
Real Madrid wana kipengele cha kumrudisha kwa €9m msimu huu wa kiangazi… pia €10m kwa mwaka 2027, lakini tayari wamekubaliana na Nico kuwa anaweza kurudi wakati wowote.
🔜
Mpango ni kumrudisha Nico Bernabeu mwaka huu… kwa sasa anazingatia kusaidia Como kufikia ndoto yao ya kucheza Ulaya.
27/03/2026
🇩🇪🔥 DENIZ UNDAV — SILAHA MPYA YA GERMANY?
Hii sio hype… huyu jamaa ni goal machine 😤
⚽ Anafunga kwa consistency kubwa Bundesliga
🎯 Clinical finisher — nafasi kidogo = goli
🧠 IQ ya mpira iko juu (ana assist + build-up play)
🔥 Ana deliver hata kwenye big games
🇩🇪 Tayari ana impact kwenye timu ya taifa
👉 Ukweli ni huu: Germany walikuwa wanatafuta striker wa kuaminika… na inaonekana wamempata.
💬 Je, Undav anaweza kuwa hero wa Germany kwenye World Cup?
USIACHE ku follow account yetu mpya hii ya (Oran media) tumepatwa na tatizo lililokuwa nje ya uwezo wetu katika account yetu ya zamani (Plz follow 🥺🙏)
27/03/2026
MAPEMA BODI IMELETA MAAMUZI
Kipa wa Yanga Diara amefungiwa michezo 3 na kutozwa Faini ya Milion 4 kwa ujumla
Kutoka na taarifa ya Bodi Diara alifanya kosa la kumfanyia fujo muamuzi wa mchezo pamoja na viongozi wa Yanga wakati wa mchezo wao thidi ya Mtibwa Sugar
Pia kosa lingine ni kuonesha kidole chakati baada ya mchezo tajwa dhidi ya Mtibwa sugar kwa waandishi wa habari
Je familia tuambianee adhabu hii imekidhi amaa amepewa adhabu kalii sana ?
USIACHE ku follow account yetu mpya hii ya (Oran media) tumepatwa na tatizo lililokuwa nje ya uwezo wetu katika account yetu ya zamani (Plz follow 🥺🙏)
27/03/2026
SASA NCHI INAHITAJI MAOMBI KWAKWELI😫
Taifa star wamepoteza mchezo wa Kirafiki dhidi ya Liechtestnstein 0-1 ikiwa na kiwango kizuri chakucheza kutengeneza nafasi nyingi lakini wameshindwa kuzibadilisha nafasi hizo kuwa magoli
Jambo la kushangaza ni kwamba Liechtestnsten wamehitaji Shot 4 tu on target ili kupata Goal lakini Star licha ya Shorts 14 yakuna lilifanikiwa kupenya nakuwa goli
Kitakwimu Liechtesnstein wamekuwa na kiwango kibovu hivi karibuni kutoka na Game walizo poteza kwa hesabu ya haraka wana Lose ya Michezo Mitano/5 mfululizo
Kifupi ni kwamba Tanzania leo ndio ilitakiwa itawale kutoka na Quality hata performance ya team hivi karibuni ukijumiishana Afcon ya 2025-2026
Sasa swali ni je wachezi waliichukulia powa mechi ama kuna namna tunatakiwa kujijenga zaidi kipinzani zaidi ?
USIACHE ku follow account yetu mpya hii ya (Oran media) tumepatwa na tatizo lililokuwa nje ya uwezo wetu katika account yetu ya zamani (Plz follow 🥺🙏)