Semaji la Mnyama Ahmed Ally amewaomba Mashabiki kuendelea kumsapoti mshambuliaji wao raia wa Mali π²π± Ibrahim Doumbia katika hali zote.
Nyota wa kimataifa Ibrahim Doumbia hakuwa na mwanzo mzuri ndani ya kikosi cha Simba SC lakini baadhi ya mashabiki wameendelea kumsapoti wakiamini kuwa anayo mambo mazuri ya kuwapa Wanasimba katika michezo inayofuata.
IBRAHIM DOUMBIA βπΌπ¦
Ligi Zetu
Ligi Zetu | Tanzania Football
Monitoring football competitions across Tanzania.
13/08/2026
Tusimkatie tamaa, Tuendelee kumpa muda na ikiwezekana tumpe na MASK ili package ya Victor Osimhen ikamilike
Binafsi bado nina imani na Ibrahim Doumbia ππ».
TEKA LA MNYAMA π¦β½οΈ
12/08/2026
12/08/2026
Usipoweza kumlinda mpenzi wako, Muda wowote watu wanapita nae ππ
MJINI WATU HAWANA HURUMA π
MACHO KWENYE SCREEN, MACHO KWENYE VIDEO π
MWALIMU NI MWANANCHI πβοΈπΌ
Sio wewe tu, Hata mimi NINASHINDWA KUELEWA π
24/07/2026
Rasmi klabu ya Simba SC imetambulisha usajili wa Mshambuliaji raia wa Mali π²π± Ibrahim Doumbia.
Doumbia anajiunga na Simba SC akiwa ndiye mfungaji bora wa ligi kuu ya Mali ambapo amefunga jumla ya magoli 17 na kutoa Assist 5 kwenye michezo 24.
Ibrahim Doumbia amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Simba SC wenye kipengele cha kuongeza mwaka mwengine.
Doumbia ni Mnyama β½οΈπ¦
21/07/2026
Rasmi klabu ya Simba SC imetambulisha usajili wa Winga Bakari Msimu (18)
Msimu amejiunga na Simba SC akitokea Coastal Union baada ya mkataba wake kumalizika.
Moja ya talent kubwa nchini imemwaga wino kwenye kandarasi ya miaka miwili kuitumikia Simba Sports Club.
20/07/2026
Simba SC imefungua vizuri dirisha la usajili kwa kuanza kuwatambulisha wachezaji Kelvin Nashon (Kiungo Mkabaji) na Nathan Chilambo (Beki wa kulia)
Kitu kizuri ni kuwa wachezaji hawa wote wawili wana uzoefu mkubwa wa ligi kuu ya NBC na wana uwezo wa kukabiliana na presha ya michezo mikubwa jambo ambalo wameshathibitisha kwenye vilabu walivyotokea.
Chilambo anakuja kuimarisha safu ya ulinzi ya Mnyama hasa upande wa kulia ambao ulikuwa na machaguo mawili tu Shomari Kapombe na David Kameta ambapo mara kadhaa yalionekana madhaifu madogo madogo kwenye eneo hilo lakini ujio wa Chilambo utaenda kuamsha hari na ushindani kwenye eneo hilo na kufanya mbavu ya kulia ya Mnyama Simba iwe imara zaidi.
Kelvin Nashon ambaye ni kiungo mkabaji mwenye uzoefu mkubwa wa kutawala eneo la chini la kiungo anakuja Msimbazi kuongeza uimara katika eneo hilo ambalo tayari lina watu mahiri k**a Yusuph Kagoma na kijana Hussein Semfuko, hakuna asiyefahamu ubora wa Kelvin Nashon kwenye vilabu vyote alivyopita na sasa ni wakati wa kudhihirisha ubora wake kwenye jukwaa kubwa la Mnyama Simba.
Simba SC bado wanashusha vyuma lakini hizi karata walizoanza nazo zinaonesha ni kwa namna gani viongozi wa Simba SC walitulia sokoni ili kuwaletea Wanasimba wachezaji wenye quality inayoendana na timu yao.
MNYAMA YUPO SERIOUS SANA π¦π₯
Click here to claim your Sponsored Listing.