New Viwege Joga

New Viwege Joga

Share

Mazoezi ni Afya uchumi pamoja na kufanya majambo ya jamii kwa ushirikiano na upendo.

08/03/2026

Siku ya wanawake ni muhimu sana.

Inatambua michango ya wanawake wote na kuthamini michango yao.

Inawapa nafasi katika jamii na kuendeleza dunia yetu.
Usawa sio sawasawa so usiogope k**a mwanaume.

Viwege Jogging club inawatakia heri wanawake wote kutoka jogging tofauti tofauti hapa Dar Es Salaam na Tanzania kwa ujumla.

HAPPY WOMEN'S DAY.

Photos from New Viwege Joga's post 16/02/2026

FRIENDSHIP🤝

Photos from New Viwege Joga's post 15/02/2026

Matukio tofauti tofauti katika ushiriki wetu katika bonanza kubwa la TWENZETU MBAGALA SEASON 6


14/02/2026

Mazoezi ya mwisho kwa ajili ya kujiandaa kwenye tukio kubwa la taifa TWENZETU MBAGALA SEASON 6 sisi k**a New Viwege Joga TUTAKUWEPO MAPEMA SANA KABLA YA JOGOO HAJAAMKA....

03/02/2026

ARI, NGUVU NA MORALI NDIO JADI YETU......💪

BACK TO THE ACTION

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Majohe Viwege
Dar Es Salaam