Baraka Lugwisha

Baraka Lugwisha sports

Coastal Union. VS Simba sc Mchezo upo Live Muda HuuLink ipo CHINI  https://youtu.be/_IBjCNr6h44Tupatie UTABILI Wako Kati...
21/05/2026

Coastal Union. VS Simba sc

Mchezo upo Live Muda Huu
Link ipo CHINI
https://youtu.be/_IBjCNr6h44

Tupatie UTABILI Wako Katika mchezo huu Ili tukupatie zawadi tuma Pamoja na namba yako



Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Ahmed Madata, Dustan Clement, Aidan Willbard, Mahamudu M*...
21/05/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Ahmed Madata, Dustan Clement, Aidan Willbard, Mahamudu M***a, Sule Muntary, Rajab Muhembe, Omary Twalb Mshuza, Ally Malapula, Yusuf Mjapan, Charles Willfred, Hery Chala, Chiff Arnold Shultz, Jastin Richad, Ustadhi Omary Mabegi, Nyawangwe Sorongai, Shayo Shayo, Jumanne Nyolobi, Zuleikha Hamady, Amerika Jackson, Godfrey Mwarugaja, Samson Daudi, Sam S Peya, Lazalusi Luambano, Elly Welding, Kelvin Tesh Kdb Mcity, Van D Allay, Antoni Mbonaliba, Patrick J Petro, Amza Amza Sumali, Dotto Bm, Hamdan Abou Humaiddah, Isaac Muchina, Ismaie Yahaya, Salum Mohamed, Ally Hussein, Maua Issa, Paul Komu, Cosmas Jeremia, Fatuma Hussen, Hamfrey Mahanga, Hosseni Mfaume, Jeston Manga, Mkwela Mkwela, Issa Salum, Kiteja Mgema, Issieshter BA, Colman Mosha, Nathan Mwakalundwa, Bakari Zabalaga, Robson Charles

NGUMU KUMEZA YA YANGA SC  Akizungumza Mhamed Husseni Leo Kuhusiana na Taarifa zinazowndelea kuenea Kuwa Hana furaha na Y...
20/05/2026

NGUMU KUMEZA YA YANGA SC
Akizungumza Mhamed Husseni Leo Kuhusiana na Taarifa zinazowndelea kuenea Kuwa Hana furaha na Yanga SC ,
MSIKILIZE AKIZIBITISHA MWENYEWE LEO
LINK IPO CHINI
https://youtu.be/SJ5UMoFbT8U
K**a Mdau Wa Soka Unamaoni gani
Simba sc Waamua kuivunja yanga sc

πŸš¨π™π™π˜Όπ™‰π™Žπ™π™€π™ π™‰π™€π™’π™Ž: RUSHINE DE REUCK AINGIA KWENYE RADAR YA DYNAMO MOSCOW URUSIMkurugenzi wa Michezo wa klabu ya Dynamo Mosc...
19/05/2026

πŸš¨π™π™π˜Όπ™‰π™Žπ™π™€π™ π™‰π™€π™’π™Ž: RUSHINE DE REUCK AINGIA KWENYE RADAR YA DYNAMO MOSCOW URUSI

Mkurugenzi wa Michezo wa klabu ya Dynamo Moscow ya nchini Urusi, Željko Buvač, ameonyesha kuvutiwa kwa kiwango kikubwa na uwezo wa beki wa kati wa klabu ya Simba, Rushine De Reuck, kufuatia mwenendo wake mzuri wa kiuchezaji katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania msimu huu.

Kwa mujibu wa taarifa za karibu na uongozi wa klabu hiyo, Buvač ameonesha nia ya dhati ya kumfuatilia kwa karibu zaidi nyota huyo wa Simba ili kufanya tathmini ya kina kabla ya kufikiria uwezekano wa kumsajili katika dirisha kubwa lijalo la usajili barani Ulaya.

Rushine De Reuck, ambaye ameendelea kuwa nguzo muhimu katika safu ya ulinzi ya Simba, amekuwa na msimu wenye mafanikio makubwa ambapo umahiri wake wa kuzuia mashambulizi, uongozi uwanjani, pamoja na uwezo wake wa kusoma mchezo umeifanya klabu hiyo kuwa na safu imara ya ulinzi.

Mchezaji huyo pia kwa sasa anatajwa miongoni mwa wachezaji wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora MVP wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu, hali inayoonyesha kiwango chake cha juu na mchango wake mkubwa kwa kikosi cha Simba.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, Željko Buvač ameonesha nia ya kumtaka Rushine De Reuck afanyiwe ufuatiliaji wa muda mrefu zaidi, ambapo mawakala wa klabu hiyo huenda wakaletwa kuangalia kwa macho mechi kadhaa za Simba kabla ya kufungua milango ya mazungumzo rasmi ya usajili katika dirisha lijalo la majira ya joto au baridi barani Ulaya.

TAZAMA LIVE MUDA HUU

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Baraka Lugwisha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category