Shaffhi Dauda Sports

Shaffhi Dauda Sports

Share

Fuatilia michezo na burudani na burudani ya michezo kwa kufuata maadili ya uandishi wa habari.

Lengo letu ni kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha mashabiki wa michezo #shaffhidaudaSport

21/05/2026

Coastal Union. VS Simba sc

Mchezo upo Live Muda Huu
Link ipo CHINI
https://youtu.be/_IBjCNr6h44

Tupatie UTABILI Wako Katika mchezo huu Ili tukupatie zawadi tuma Pamoja na namba yako



21/05/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Ahmed Madata, Dustan Clement, Aidan Willbard, Mahamudu M***a, Sule Muntary, Rajab Muhembe, Omary Twalb Mshuza, Ally Malapula, Yusuf Mjapan, Charles Willfred, Hery Chala, Chiff Arnold Shultz, Jastin Richad, Ustadhi Omary Mabegi, Nyawangwe Sorongai, Shayo Shayo, Jumanne Nyolobi, Zuleikha Hamady, Amerika Jackson, Godfrey Mwarugaja, Samson Daudi, Sam S Peya, Lazalusi Luambano, Elly Welding, Kelvin Tesh Kdb Mcity, Van D Allay, Antoni Mbonaliba, Patrick J Petro, Amza Amza Sumali, Dotto Bm, Hamdan Abou Humaiddah, Isaac Muchina, Ismaie Yahaya, Salum Mohamed, Ally Hussein, Maua Issa, Paul Komu, Cosmas Jeremia, Fatuma Hussen, Hamfrey Mahanga, Hosseni Mfaume, Jeston Manga, Mkwela Mkwela, Issa Salum, Kiteja Mgema, Issieshter BA, Colman Mosha, Nathan Mwakalundwa, Bakari Zabalaga, Robson Charles

20/05/2026

NGUMU KUMEZA YA YANGA SC
Akizungumza Mhamed Husseni Leo Kuhusiana na Taarifa zinazowndelea kuenea Kuwa Hana furaha na Yanga SC ,
MSIKILIZE AKIZIBITISHA MWENYEWE LEO
LINK IPO CHINI
https://youtu.be/SJ5UMoFbT8U
K**a Mdau Wa Soka Unamaoni gani
Simba sc Waamua kuivunja yanga sc

19/05/2026

๐Ÿšจ๐™๐™๐˜ผ๐™‰๐™Ž๐™๐™€๐™ ๐™‰๐™€๐™’๐™Ž: RUSHINE DE REUCK AINGIA KWENYE RADAR YA DYNAMO MOSCOW URUSI

Mkurugenzi wa Michezo wa klabu ya Dynamo Moscow ya nchini Urusi, ลฝeljko Buvaฤ, ameonyesha kuvutiwa kwa kiwango kikubwa na uwezo wa beki wa kati wa klabu ya Simba, Rushine De Reuck, kufuatia mwenendo wake mzuri wa kiuchezaji katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania msimu huu.

Kwa mujibu wa taarifa za karibu na uongozi wa klabu hiyo, Buvaฤ ameonesha nia ya dhati ya kumfuatilia kwa karibu zaidi nyota huyo wa Simba ili kufanya tathmini ya kina kabla ya kufikiria uwezekano wa kumsajili katika dirisha kubwa lijalo la usajili barani Ulaya.

Rushine De Reuck, ambaye ameendelea kuwa nguzo muhimu katika safu ya ulinzi ya Simba, amekuwa na msimu wenye mafanikio makubwa ambapo umahiri wake wa kuzuia mashambulizi, uongozi uwanjani, pamoja na uwezo wake wa kusoma mchezo umeifanya klabu hiyo kuwa na safu imara ya ulinzi.

Mchezaji huyo pia kwa sasa anatajwa miongoni mwa wachezaji wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora MVP wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu, hali inayoonyesha kiwango chake cha juu na mchango wake mkubwa kwa kikosi cha Simba.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, ลฝeljko Buvaฤ ameonesha nia ya kumtaka Rushine De Reuck afanyiwe ufuatiliaji wa muda mrefu zaidi, ambapo mawakala wa klabu hiyo huenda wakaletwa kuangalia kwa macho mechi kadhaa za Simba kabla ya kufungua milango ya mazungumzo rasmi ya usajili katika dirisha lijalo la majira ya joto au baridi barani Ulaya.

TAZAMA LIVE MUDA HUU

19/05/2026

kilichotokea Leo kwenye Mazoezi ya Yanga SC
Wachezaji wamepogana kutokana Kwa kutofautiana Kwa wachezaji Bakari Nondo mwamunyeto Pamoja na Mhamed HUSSEN

TAZAMA VIDEO ILIYOREKODIWA KWA SILI LEO MAZOEZINI LINK IPO CHINI

https://youtu.be/SJ5UMoFbT8U

MHAMEDI HUSSENI , Sina furaha Kuwa yanga SC nimeomba kuondoka

19/05/2026

Mchezaji Wa Azam FC IDD NADO , Amenukuliwa leo akizungumza kuhusiana na Mchezo Wa Azam na yanga mchuano ya Crdb
Akisema Nimepigiwa Simu na Viongozi WA Yanga SC Wanataka tusicheze vizuri
TAZAMA LIVE MUDA HUU MAZUNGUMZO
https://youtu.be/0-SVsyMOnmA

Ili tufungwe Wao yanga Waende final

03/05/2026

21โ€™|

Simba SC 2๐Ÿ†š1 Young Africans SC


08/04/2026

Tatu nyingineโ€ฆ. Tatu za pili mfululizoโ€ฆ. Tatu tenaโ€ฆ. Tatu na pointi tatuโ€ฆ.Clean Sheet ya pili bila screen protectorโ€ฆ. !!!

FT: Pamba Jiji 0-3 Yanga SC

Kesho ni TRA United vs Simba SC

TAZAMA LIVE MUDA HUU

https://youtu.be/o3E9bRpxnBo

Je, itakuwaje??

08/04/2026

Msemaji Wa Simba sc ,Ahamed Ally Amesema kwenye mahojiano , Sishangai yanga kuvifunga Pamba Jiji Kwa Sababu hilo ni Tawi la Yanga SC toka zamani
TAZAMA LIVE MUDA HUU

https://youtu.be/o3E9bRpxnBo
Ahamed Ally Acharuka Yanga SC bila kubebwa Hakuna timu hapo

08/04/2026

๐Ÿšจ๐™๐™๐˜ผ๐™‰๐™Ž๐™๐™€๐™ ๐™‰๐™€๐™’๐™Ž: KOCHA WA SIMBA STEVE BARKER ANAMTAKA KIUNGO HATARI JAYDEN ADAMS KWA NGUVU ZOTE

Klabu ya Simba imeripotiwa kuanza mazungumzo na mabingwa wa Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns, kwa lengo la kuinasa saini ya kiungo hatari Jayden Oswin Adams katika dirisha lijalo la usajili.

Jina la Adams limetajwa kuwa miongoni mwa wachezaji wanaotazamwa kwa karibu kutokana na uwezo wake mkubwa wa kucheza eneo la kiungo na kusaidia mashambulizi.

Inaelezwa kuwa mpango huo wa usajili unasukumwa kwa kiasi kikubwa na kocha wa Simba, Steve Barker, ambaye anaripotiwa kuwa na mapenzi makubwa na uwezo wa mchezaji huyo. Barker anaaminika kuwa amekuwa akimfuatilia Adams kwa muda mrefu, akivutiwa na ubunifu wake, uwezo wa kumiliki mpira pamoja na nidhamu yake ndani ya uwanja.

Taarifa zinaongeza kuwa katika kipindi cha mapumziko ya ligi, kocha huyo alisafiri hadi nchini Afrika Kusini ambako alifanya mazungumzo ya awali na baadhi ya watu wa karibu wa mchezaji huyo, ili kujadili uwezekano wa kufanikisha dili hilo.

Kwa upande wake, Adams ambaye kwa sasa anakipiga ndani ya kikosi cha Mamelodi Sundowns, amekuwa katika kiwango bora na ni miongoni mwa viungo wanaotegemewa katika kikosi hicho. Uwezo wake wa kucheza k**a kiungo mshambuliaji pamoja na kusaidia kujenga mashambulizi umemfanya kuvutia vilabu kadhaa, si tu barani Afrika bali pia nje ya bara hilo.

Hali hiyo inafanya mchakato wa kumpata kuwa mgumu zaidi kwa Simba, kutokana na ushindani unaoweza kujitokeza kutoka kwa vilabu vingine vyenye uwezo mkubwa kifedha. Aidha, Mamelodi Sundowns ni klabu yenye msimamo mkali linapokuja suala la kuwaachia wachezaji wake muhimu, jambo ambalo linaweza kufanya mazungumzo hayo kuwa ya kina na yenye kuchukua muda.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Dar Es Salaam