Ukafika muda watu wa mlimani city kupewa habari kamili ya miaka 30 ya bongo frava na mwana fa ,toa maoni Yako burudani ilikuaje?
Follow Kamnokole media
Kamnokole media
nyumbani kwa story zote za burudani na michezo
Show ya davido marekani
Follow Kamnokole media
Wananchi wanafanya kufuru ya pesa uko kununua video ya okello
Follow Kamnokole media
26/04/2026
Alieshambulia hafra ya trump na maafisa wengine wa serikali Washington atambukiwa na kuk**atwa kufikishwa mahak**ani kesho.
Follow Kamnokole media
Tukio limetokea usiku huu Washington Hilton ambapo Rais wa Marekani Donald Trump akiwa na Wafanyakazi wa White House wakipata chakula cha Usiku ambapo mashambulizi yalitokea risasi zikidaiwa kupigwa hivyo Maafisa wakifanya kazi kuwaondoa Viongozi ijapo baadae tukio liliendelea k**a kawaida.
Kuna maoni kinzani wapo wanaodai ni tukio la kupangwa na wapo wanaodai ni tukio la kweli.
Follow Kamnokole media
25/04/2026
TRUMP aliitangazia dunia kuwa ametuma Ujumbe wake kuelekea Pakistan kwa ajili ya mazungumzo na Iran, licha ya Iran kutoa taarifa kuwa hawana mazungumzo yoyote tena na Marekani mpaka watekeleze masherti yao, jioni hii rasmi Trump ametangaza kusitisha safari baada ya ukweli kuwa Iran waliondoka punde baada ya mazungumzo na Pakistan kwa maana hawakutaka mazungumzo yoyote na Marekani.
25/04/2026
Chagua mshambuliaji mmoja
Follow Kamnokole media
INASIKITISHA
LEICESTER CITY Yashuka ligi daraja la tatu Nini kimewasibu?
Follow Kamnokole media
Follow Ashilaka Kamnokole
Nini tatizo la arsenal msimu huu timu mbovu au rekodi zao zinawatesa
Click here to claim your Sponsored Listing.