02/06/2026
Bingwa wa NBC PL πΉπΏ atajulikana mwezi huu (Juni)
π° πππππ (πππ ππ)
13 π Mashujaa - A
18 π Fountain - A
24 π Azam - H
27 π TRA - H
30 π JKT - A
π¦ πππππ (πππ ππ)
14 π Pamba Jiji - H
17 π Mbeya City - A
24 π Mtibwa - A
27 π Singida - H
30 π KMC - H
Taraq J. Jafray
29/03/2026
Habari,
KITALU NYUMBA. (Greenhouse)
+Tunatengeneza greenhouse (kitalu nyumba) kwa bei nafuu saana.
Lima kisasa, Lima kilimo cha kisasa kwa maendeleo yako na taifa.
Contact me for greenhouse installation.
24hr
[email protected]
+255621054778
+255693406044
+255610881178
16/02/2026
CAF 5-Year Club Ranking baada ya hatua ya Makundi michuano ya CAFCLCC 2025/26.
1οΈβ£ πͺπ¬ Al Ahly β 66 pts
2οΈβ£ πΏπ¦ Mamelodi Sundowns β 58 pts
3οΈβ£ πΉπ³ EspΓ©rance Sportive de Tunis β 53 pts
4οΈβ£ π²π¦ RS Berkane β 52 pts
5οΈβ£ πͺπ¬ Pyramids FC β 48 pts
6οΈβ£ πΈπ© Al Hilal β 39 pts
7οΈβ£ πͺπ¬ Zamalek SC β 39 pts
8οΈβ£ πΉπΏ Simba SC β 38 pts
9οΈβ£ π©πΏ USM Alger β 37 pts
π πΉπΏ Young Africans β 35 pts
Chama lako lipo namba ngapi?
Taraq TK sports
02/02/2026
Lookman.
Mchezaji mpya atletico Madrid.
Akitokea Atalanta.
Taraq TK sports
01/02/2026
TAARIFA KWA UMMA.
Taraq TK sports
29/01/2026
Kikosi cha Simba SC Tanzania Kinachoanza katika mchezo wa Leo dhidi ya mashuja fc.
Mwanasimba Umekionaje Kikosi Hiki?
29/01/2026
Kikosi Cha Mashujaa FC Kinachoanza Kwenye Mchezo Wa Leo Dhidi Ya Simba SC.
Umekionaje Kikosi Hiki? Kuna Magoli Mangapi Hapa?
Taraq TK sports
29/01/2026
KIKOSI cha Simba, leo Alhamisi kinashuka kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kucheza dhidi ya Mashujaa, huku nyota wawili wa timu hiyo, wakikalia kuti kavu la kuachwa kabla ya dirisha dogo halijafungwa kesho.
Nyota hao ni viungo, Mohammed Bajaber na Neo Maema. Mmoja kati ya nyota hao, ni lazima kupisha usajili wa kiungo mshambuliaji fundi raia wa Congo Brazzaville, Inno Jospin ili kukamilisha idadi kamili ya wachezaji 12 wa kimataifa wanaotakiwa kikanuni.
28/01/2026
IΓ±no Jospin Loemba. Ni mwekundu