Mshana sport 90+

Mshana sport 90+

Share

Street vibe

27/08/2026

Teka la boli linakarbia kufunga ,
Sisi k**a wana simba tunaamini week ijayo tunaamini atafunga hatrik amzidi shalulile"""""""

23/05/2026

MVP ajaye

23/05/2026

πŸ“Š TAKWIMU ZA VIUNGO WASHAMBULIAJI πŸ”₯

🟒 Allan Okello (Yanga SC)
⚽ Magoli: 9
🎯 Assists: 7

πŸ”΄ Clatous Chama (Simba SC)
⚽ Magoli: 8
🎯 Assists: 6

Wote wanaendelea kuwa muhimu sana kwenye ubunifu na ushambuliaji wa timu zao msimu huu πŸ’«βš½

Je, nani ana mchango mkubwa zaidi kwa timu yake kati ya hawa wawili? πŸ‘€πŸ”₯

23/05/2026

πŸš¨πŸš¨π—π—¨π—¦π—§ π—œπ—‘: imefichuka kuwa mfadhili mkuu wa Yanga (GSM) ameingilia kati jambo la Bonus za wachezaji kuelekea mwishoni mwa msimu.

GSM amewaahidi wachezaji wa Yanga kupewa Bonus kubwa sawa na ile inayotoka kwenye mechi za CAF Champions League kwenye kila mechi ambayo watashinda ya NBC msimu huu.

Yes! Kuanzia leo wachezaji wa Yanga watapewa Bonus sawa na ile ya mechi za CAF kwenye kila ushindi wa mechi zilizobaki za NBCπŸ€”

GMS anataka matokeo ya ushindi tu na siyo sare wala kupoteza ili kutetea taji la ligi kuu msimu huu.

22/05/2026

Mchezaji Bora wa mwezi April NBC PREMIEL LEAGUE ALLAN OKELLO amekabidhiwa tuzo yake.

05/08/2025

🚨 Official:

Young Africans have unveiled the signing of former Simba captain Mohamed β€˜Tshabalala’ Hussein.

πŸ”°

01/08/2025

MVP WA IVORY COAST-ECUA
Klabu ya Yanga imemtambulisha Rasmi Celestine Ecua (Miaka 22) raia wa Ivory Coast, Ecua anajiunga na Yanga akitokea Zoman FC

Ecua amewahi pia kukupiga kwenye Klabu ya Asec Memosa kwa mkopo akitokea Zoman na msimu wake Bora kwenye soka ulikuwa ni msimu wa

LIGI KUU - IVORY COAST

Mechi: 27
Magoli: 13
Asisti: 12
Penalti zilizofungwa: 2
Jumla ya mchango wa magoli (G/A): 25

Mfungaji Bora wa Pili
Mchezaji Bora wa Msimu (MVP)

Ecua alionyesha kiwango cha juu kwa kuchangia karibu kila mechi moja (asilimia 0.93 ya G/A kwa kila mechi), na kuwa mmoja wa washambuliaji hatari zaidi msimu huu.

KOMBE LA SHIRIKISHO LA CAF
Mechi: 5
Alianza: 3
Miguso ndani ya boksi la wapinzani: 19
Shuti kwenye lango: 3
Magoli: 2
A Asisti: 0

Ecua amejiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili hadi 2027πŸ—žοΈ

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address

Ntyuka Dodoma
Dodoma