17/04/2026
Timu nane za hatua ya robo fainali CRDB Bank Federation Cup zishapatikana, leo Ijumaa Aprili 17 inafanyika droo ili kujua nani na nani watakutana.
Droo hii itafanyika kuanzia saa 6:00 mchana na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Timu zilizofuzu hatua ya robo ni Yanga SC, Simba SC, Azam FC, Singida United, TRA United, JKT Tanzania, Mashujaa FC, na Coastal Union.
16/04/2026
Ni magoli sita yamekaa kwenye nyavu za Mbeya City.
FT: Yanga SC 6-0 Mbeya City
Ilikuwa LIVE
16/04/2026
Kipindi cha kwanza yanga kapiga kamba Tano.
15/04/2026
Champions League semi-finalists ✅
15/04/2026
Simba SC kukipiga Leo April 15 dhidi ya Fountain gate.
Je Mnyama ataendeleza ubabe wake au atalala chali Leo?
14/04/2026
Ratiba ya ligikuu ya NBC tanzania mzunguko wa 19
12/04/2026
Kikosi cha Mnyama kinachoshuka uwanjan dhidi ya Dodoma jiji
12/04/2026
Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika
Saa 4:00 usiku, Esperance De Tunis watakuwa uwanja wa nyumbani wakiwakaribisha Mamelodi Sundowns.
Je, ni The Beast of Africa ama Masandawana nani kutanguliza mguu mmoja fainali?
Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports2HD.
10/04/2026
The Premier League is back this week.
10/04/2026
Quarter-final first legs ✅