Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Wendrin Mhumbat, Leonard Msenga
Ligi ya bongo
Page hii ni kwaajili ya michezo, ligi kuu ya Tanzania bara
Get well soon Peter
13/07/2022
Klabu ya Kagera Sugar imetangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili golikipa wake Said Kipao.
Here we go🔥🔥
13/07/2022
DEAL DONE✅
Klabu ya Kagera Sugar imemuongezea mchezaji wake Ally Nassoro mkataba wa miaka miwili.
Here we go🔥🔥
12/07/2022
LEO TAARIFA IMETOKA MAPEMA KWAHYO HATUKESHI😀.
Klabu ya Yanga SC 🇹🇿 imetangaza kumwongezea Mkataba Mpya wa Mwaka Mmoja Beki wake wa kati,Abdallah Shaibu 'Ninja' ambapo atasalia Klabuni hapo mpaka mwaka 2023.
12/07/2022
Kiungo wa klabu ya Simba Sc Pape Ousmane Sakho ameanza safari ya kurejea nchini Tanzania tayari kujiunga na klabu yake ya Simba Sc kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya.
Here we go🔥🔥
11/07/2022
RASMI : JOYCE LOMALISA NI MCHEZAJI HALALI WA KLABU YA YANGA SC.
Here we go🔥🔥
11/07/2022
DEAL DONE✅
Klabu ya Yanga Sv imefanikiwa kunasa saini za wachezaji wafuatao.
1.Lazarous Kambole
2.Bernard Morisson
3.Gael Birigimana
Here we go🔥🔥
11/07/2022
DEAL DONE✅
Mpaka sasa klabu ya Simba Sc imefanikiwa kunasa saini za wachezaji wafuatao.
1.Moses Phiri
2.Habibu Kyombo
3.Victor Akpan
4.Nassoro Kapama
Here we go🔥🔥
11/07/2022
NI YEYE MUTU YA KAZI NASSORO KAPAMA🔥🔥
Deal Done✅
NASSORO KAPAMA IS RED
11/07/2022
DEAL DONE✅
Klabu ya Singida All Big Stars FC 🇹🇿 imekamilisha Usajili wa Golikipa wa zamani wa Klabu ya Yanga SC 🇹🇿 na timu ya Taifa ya Tanzania 🇹🇿,Metacha Mnata kwa Mkataba wa Miaka Miwili akitokea Klabu ya Polisi Tanzania 🇹🇿
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
Dodoma