27/04/2022
Huyu ni Rais wa Ufaransa. Anaitwa Emmanuel Macron. Macron ameshinda kwa mara nyingine kuwa Rais wa Ufaransa. Mkewe anaitwa Brigitte Macron. Emmanuel Macron alikutana na Bridget kwa mara ya kwanza akiwa high school mwaka 1993. Wakati huo Macron alikuwa na umri wa miaka 15, Brigitte alikuwa mwalimu wake akiwa na umri wa miaka 40. Wakati huo Brigitte alikuwa mama mwenye watoto watatu. Mwaka 2006, Brigitte alitalakiana na mumewe aliyezaa nae watoto watatu na mwaka 2007 aliolewa na Emmanuel Macron. Emmanuel Macron ana umri wa miaka 44 na Mkewe Brigitte ni bibi wa miaka 69. Mtoto wa kwanza wa Bibi Brigitte ana umri wa miaka 45.Mpaka sasa Emmanuel na mkewe bibi Brigitte hawajabahatika kupata mtoto.
19/06/2020
26/05/2020