06/04/2026
π¨π¨ ππ¨π¦π§ ππ‘: Cristiano Ronaldo na Al Nassr wamekubaliwa na FIFA k**a washindi wa Kombe la Klabu za Kiarabu, ikijumuisha mabao yake katika mashindano hayo.
Ronaldo sasa rasmi ameshinda taji lake la kwanza akiwa na Al Nassr.
01/04/2026
π¨π Pasi za kupenya (through balls) zilizokamilika zaidi katika ligi tano bora Ulaya tangu 2017/18:
β’ Lionel Messi: 132 katika mechi 196
β’ Bruno Fernandes: 84 katika mechi 223
β’ Kevin De Bruyne: 81 katika mechi 235
β’ Neymar: 79 katika mechi 112
β’ Luis Alberto: 67 katika mechi 233
π₯ Hii inaonyesha ubunifu wa hali ya juu wa wachezaji hawa katika kutengeneza nafasi za mabao!
01/04/2026
Orodha kamili ya timu zitakazoshiriki Kombe la Dunia 2026 sasa imekamilika rasmi ππβ
Eka bendera ya nchi unayodhani itashinda Kombe la Dunia mwaka huu ππ
30/03/2026
FC Barcelona Msimu Huu: Akiwepo Raphinha vs. Bila Raphinha π¬π«£
βπͺπΈ Barcelona Akiwepo Raphinha
βMechi: 27
βSare: 2
βKupoteza: 2
βπͺπΈ Barcelona Bila Raphinha
βMechi: 9
βSare: 1
βKupoteza: 5
30/03/2026
πͺπΈ Heri ya siku ya kuzaliwa kwa mmoja wa walinzi bora wa muda wote, Sergio Ramos, anayetimiza umri wa miaka 40 leo! π
π Michezo 1030
β½οΈ Mabao 148
π― Pasi za mabao 50
π 1x Kombe la Dunia
π 2x Euro
π 4x Klabu Bingwa Ulaya (UCL)
π 4x Kombe la Dunia la Klabu
π 5x La Liga
π 2x Ligue 1
π 3x UEFA Super Cup
π 2x Copa del Rey
π 4x Supercopa
π 1x French Super Cup
π
2x Beki Bora wa Msimu wa UCL
π₯ Mpira wa Dhahabu wa Kombe la Dunia la Klabu
β½οΈ Mfungaji Bora wa Kombe la Dunia la Klabu (2014)
π₯ 5x Beki Bora wa La Liga
Kazi ya kustaajabisha!
26/03/2026
π¨ RASMI: Shirikisho la Soka Duniani FIFA limeidhinisha sheria mpya kwa ajili ya Kombe la Dunia 2026 ili kuzuia kupoteza muda π
β Wachezaji wanaotolewa lazima watoke uwanjani ndani ya sekunde 10; vinginevyo, mchezaji anayeingia atasubiri dakika 1 kabla ya kuruhusiwa kuingia.
β Mipira ya kurusha (throw-ins) lazima ichukuliwe ndani ya sekunde 5 β ikizidi muda huo, mpira utapewa wapinzani.
β Wachezaji wanaopata matibabu uwanjani lazima watoke nje kwa dakika 1 kabla ya kurejea kucheza.
β VAR sasa inaweza kupitia maamuzi ya kadi ya pili ya njano na mipira ya kona β ikiwa kuna βkosa la wazi na dhahiri.β
Kwa sheria hizi itakuwa tiba ya muda kupotezwa na mpira kuchezwa zaidi?
25/03/2026
π¨βΌοΈ Manchester United wanapanga kufungua uwanja wao mpya ndani ya miaka 6 ijayo.
Β· Hiyo itakuwa mwaka 2032 na wanatarajia uwezo wa kubeba mashabiki 100,000.
Β· Klabu bado inahitaji kupata eneo la kujenga pamoja na fedha za kufadhili mradi wa uwanja huo mkubwa.
24/03/2026
πΊπΈ π¨ OFFICIAL Kiungo Mshambuliaji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann amejiunga na Orlando City k**a mchezaji huru.π«π·π.
Griezmann atamalizia msimu na Atletico kisha atajiunga na Orlando City mwezi Julai kwa mkataba wa miaka mitatu hadi June 2028. βοΈ
24/03/2026
Wakati Ureno ikitangaza rasmi kikosi chake kwa michezo ya kirafiki ya kimataifa ijayo, walijumuisha jina la Diogo Jota kwenye orodha kwa rangi nyekundu. π΅πΉπ
Huenda asikuwapo kimwili, lakini daima atakuwapo kiroho. Ishara inayozidi mipaka ya mchezo wa soka.
Mchezo mzuri unakukosa, Diogo. Ureno haitakusahau kamwe.
YOU'LL NEVER WALK ALONE. π₯Ή
24/03/2026
π³π΄ Erling Haaland bado hajafunga hata bao moja kwenye fainali kubwa akiwa na Manchester City:
β Fainali ya 2023 ya FA Cup dhidi ya Manchester United
β Fainali ya 2023 ya UEFA Champions League dhidi ya Inter Milan
β Fainali ya 2024 ya FA Cup dhidi ya Manchester United
β Fainali ya 2025 ya FA Cup dhidi ya Crystal Palace
β Fainali ya 2026 ya EFL Cup dhidi ya Arsenal
24/03/2026
Kepa Arrizabalaga kwenye fainali za EFL Cup:
2019: Alikataa kutolewa nje wakati mchezo ukielekea kwenye mikwaju ya penalti
2022: Alipiga penalti juu ya lango huku Chelsea wakipoteza 11-10 dhidi ya Liverpool kwa mikwaju ya penalti
2026: Aliachia mpira umponyoke mikononi, na Nico O'Reilly akaipa Manchester City bao la kuongoza
24/03/2026
π΄RASMI:Ratiba ya nusu fainali CAF Champions League hii hapa.
Chagua Chama lako la kukupeleka fainali ukabebe kombe.π
AS FARπ
MAMELODIβ€οΈ
ES TUNISπ₯
RS BERKANEπ