Aniseth nicholaustz

Aniseth nicholaustz

Share

mungu mkubwa

19/05/2026

16/08/2020

deal done CHRIS MUGALO

23/05/2020

Mshambuliaji wetu kinara na nyota, Meddie Kagere ambaye tayari anefunga mabao 19 kwenye ligi mpaka sasa ameahidi kufunga idadi kubwa ya mabao kila atakapo pata nafasi kwa ajili ya kuipa ushindi Simba.

Kagere ambaye kwa sasa yupo nchini kwao Rwanda kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa homa ya virusi vya Corona amesema anaendelea kujifua binafsi na anaamini ligi ikirejea atakuwa fiti.

Kagere amesema yeye k**a mshambuliaji kazi yake ni moja tu kuhakikisha anafunga ili kuipa ushindi timu na kuwapa furaha Wanasimba.

"Mimi ni mshambuliaji na kazi yangu ni kufunga, nitahakikisha nafunga katika kila nafasi nitakayo pata ili kuipa ushindi Simba. Sio kila siku nitafunga isipokuwa nitahakikisha nafunga kila nikipata nafasi," alisema Kagere

Photos from Anisethtz's post 12/02/2020

Kituo kinachofuata ripuli fc

07/02/2020

KIKOSI CHA MAUAJI

07/02/2020

Aya leo ni leo

04/02/2020

mungu

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Picha Ya Ndege
Dodoma
61104