04/07/2021
Karb tukuhudumie, kwa maelezo zaid tupgie, 0628998859
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sports docter newz, Sports, 372 kigoma, Dodoma.
04/07/2021
Karb tukuhudumie, kwa maelezo zaid tupgie, 0628998859
21/08/2019
shirikisho la soka nchin Kenya limemtangaza FRANSIS KIMANZ kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya nchin humo the harambee stars.
07/08/2019
Soma vichwa vya magazeti ya leo tarehe 07/08/2019.
07/08/2019
Vichwa vya magazeti ya leo tarehe 07/08/2019.
06/08/2019
Club ya rayon sports ya nchin rwanda imethibitisha kumsajili nyota Omar Sidibe kwa kandarasi ya miaka miwili.
06/08/2019
Club ya rayon sports ya nchin rwanda imekamilisha usajili wa mchezaji Omar Sidibe kwa mkataba wa miaka miwili kuitumikia club hiyo.
06/08/2019
DONE: rasmi Gary cahil ajiunga na club ya Crystal palace ya nchin england kutoka Chelsea K**a mchezaji huru.
06/08/2019
Soma vichwa vya magazeti ya leo 06/08/2019.
05/08/2019
Aliekuwa mchezaji wa Simba Asante kwasi ahusishwa kujiunga na club ya baroka fc ya afrika kusini.
05/08/2019
Kikosi kamili Cha KMC FC msimu ujao 2019/2020.
05/08/2019
Anaitwa issa bigirimana.
05/08/2019
Power dynamos fc kutoka Zambia tayari washaingia Tanzania kwa ajili ya mechi na Simba iyo kesho kutamatisha Simba day.