Misisiko Viwanjani

Misisiko Viwanjani

Share

Pata burdani halisi kutoka viwanja vya michezo. Tunakuletea matukio mbalimbali ya kusisimua na ya kushangaza kutoka viwanjani

Photos from Misisiko Viwanjani's post 13/05/2026

Neno Moja kwake πŸ˜‚πŸ˜‚

29/04/2026

Mbona k**a imepoa sana .. wanaogopanaπŸ˜€πŸ˜€

01/03/2026

Yes Simba wametawala mchezo mwamuzi kawanyima ushindi hapa

01/03/2026

Dakika 45 za Moto kwa Diara πŸ˜‚πŸ˜‚
Leo ni leo

18/02/2026

Kuelekea Kariakoo Derby Yanga vs Simba Huko Nzenji πŸ˜‚

15/02/2026

Usiseme uk**aliza πŸ˜‚πŸ˜‚ Alikamwe hizo tiketi za kwenda South Africa tunzeni tu πŸ˜‚

15/02/2026

HT: YOUNG AFRICANS ⚽1οΈβƒ£πŸ“Ÿ0οΈβƒ£βš½ JS KABYLIE
Safari bado Al ahly ameng'ang'aniwa na ASFAR

14/02/2026
09/02/2026

Simba iliyowapa mashabiki furaha ndio hii

31/01/2026

HT: YOUNG AFRICANS 1 - 0 AL AHLY
Ibrahim Bacca amefanikiwa kudhibiti Magendo πŸ˜‚πŸ˜‚

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address

Dodoma