12/05/2018
Kilometa 15 Safi na salama kwa afya Muungano Daima.
Muungano Sports Club - Dodoma, huu ni Muungano wanamichezo walioungana kwa lengo la kujenga afya na kuilinda kwa Mazoezi ya Mwili na shughuri za kijamii.
Ukurasa huu unalenga kupashana habari kwa yanayo endelea katika Klabu yetu ya Muungano Sports Club - Dodoma, Makao Makuu. Klabu hii inajumuisha vijana, watu wa makamo, na watu wazima katika mjumuiko wa mazoezi ya mwili, sambamba na kujihusisha na shughuli za kusaidia jamii katika maswala mbalimbali Mfano mazingira,Elimu ya UKIMWI na Makuzi Madhara ya matumizi ya madawa ya kulevya. Klabu pia inamal
12/05/2018
Kilometa 15 Safi na salama kwa afya Muungano Daima.
06/05/2018
Ilikuwa ni Moto
06/05/2018
Muungano Sports Club ndani ya Mbeya
26/04/2018
Leo tena
22/04/2018
Twenzetu Mbeya ndani ya Tulia Marathon
19/04/2018
Umetambua nini kupitia picha hii. Twendezetu Mbeya Tulia Marathon
13/04/2018
Tukutane Mbeya Okwi atangazwa kuwa Barozi.
09/04/2018
Jumatatu mwanana Mungu atujaze baraka tele.
30/03/2018
Pasaka Njema kwenu Wadau wetu.
Moral tele
24/03/2018
Furaha tele jumamosi ya Leo tumekutana na kufanya root kilometa 11.54 kwa saa 1: 54 mwendo mdogo mdogo kwa afya jasho teleeeee asante Mungu, kwa Muungano.