Emil Sports

Emil Sports

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Emil Sports, Sports Event, Dodoma.

25/07/2019

Polisi wamefika nyumbani kwa Mzee Kilomoni maeneo ya Block 41 Kinondoni kuzuia mkutano aliouhitisha dhidi ya waandishi wa habari leo Alhamisi 😁

25/07/2019

Wachezaji wa klabu ya Simba walioitwa timu ya taifa wameshaungana na wenzao kwenye kambi ya timu ya taifa

25/07/2019

Klabu ya Everton imeanza mazungumzo na klabu ya Juventus kwa lengo la kumsajili Moise Kean

25/07/2019

Viingilio siku ya wananchi

25/07/2019

Tarehe k**a ya leo mwaka 2008 Lionel Messi rasmi alikabidhiwa jezi No.10 iliyo kuwa ikivaliwa na Ronaldinho

25/07/2019

PSG wametambulisha jezi zao mpya 2019/2020

Photos from Emil Sports's post 25/07/2019

Klabu ya Liverpool imemaliza Pre-seaon yake huko nchini Marekani ambako imecheza Michezo mitatu ambayo ni
▶Liverpool 2-3 Borusia Dortmund
▶Liverpool 1-2 Sevilla
▶Liverpool 2-2 Sporting Cp

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

Dodoma