25/08/2024
mambo yameanza kunoga huku
Michezo na burudani
25/08/2024
mambo yameanza kunoga huku
26/07/2024
uchache na wingi sio kipimo sahihi cha chanya na hasi. wema na ubaya una kanuni zao katika uhalisia
12/02/2024
Ugenini kuwakabili wachimbaji wa dhahabu.
04/02/2024
Tayari tumepita na point Tatu za WANA UJIJI KIGOMA. twenzetu tukachukuwe za Kule TABORA, alafu turudi pale kwa LUPASO Azam nae akale za uso. Simba SC Tanzania SIMBA NI JAMII YETU ❤
14/07/2023
Karibu Simba SC, Fabrice Ngoma.
Taarifa zaidi kwenye Simba App.
06/07/2023
Karibu Simba SC Meneja mpya wa timu na Mkuu wa Sayansi ya Michezo, Mikael Igendia.
05/07/2023
Mechi za Africa Super League zitachezwa katika miji ya
• Cairo
• Casablanca
• Pretoria
• Dar es Salaam
• Lubumbashi
• Aba
• Luanda
• Tunis
ℹ️ Draw itafanyika mwezi September hiia Ni kutokana na wadhamini walivyotak
ℹ️ Itakuwa October na Ni kuanzia robo fainal nusu fainal na fainal.
ℹ️ Mechi zitakuwa za nyumbani na ugenini baada ya draw kutoka kwenye makundi 2.
Timu zitakazoshiriki ni:
1. Al Ahly 🇪🇬
2. Sundowns 🇿🇦
3. ES Tunis 🇹🇳
4. Wydad 🇲🇦
5. Simba 🇹🇿
6. Petro Luanda 🇦🇴
7. TP Mazembe 🇨🇩
8. Enyimba 🇳🇬
|
Ameandika Micky Jnr African Football Journalist
05/07/2023
Karibu Simba SC, W***y Essomba Onana.
Taarifa kamili kuhusu usajili wake inapatikana kwenye Simba App.
05/07/2023
𝐖𝐚𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐒𝐚𝐚 𝟕:𝟎𝟎 𝐌𝐜𝐡𝐚𝐧𝐚
𝐒𝐢𝐟𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐜𝐡𝐞 𝐳𝐚 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐦𝐩𝐲𝐚
Huu ndo usajili bora tangu dirisha la usajili lifunguliwe msimu huu nchini Tanzania
Mchezaji anatoka Taifa la mpira
Mchezaji amefunga magoli mengi
Mchezaji ana assist nyingi
Mchezaji ana tuzo nyingi
Mchezaji anatokea kulia, kushoto, katikati
Mchezaji huko alikotoka timu pinzani zimeshukuru kuondoka kwake maana alikua anawatesa
Mchezaji bado kijana na ana uwezo mkubwa
Mchezaji ana uwezo wa kuchezea mpira na kupiga mashuti ya mbali
𝐇𝐚𝐩𝐚 𝐭𝐮𝐦𝐞𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐦𝐜𝐡𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢