11/07/2026
TANGAZO LA USAILI WA WACHEZAJI (U-20)
Je, una ndoto ya kucheza soka la ushindani na kujiunga na Geita Gold Football Club?
Geita Gold FC inawatangazia vijana wote wenye vipaji vya soka kushiriki katika usaili wa kutafuta wachezaji wa kikosi cha U-20.
TAREHE ZA USAILI
18 na 19 Julai
MAHALI
Uwanja wa Shule ya Msingi Waja, Geita.
Vigezo vya Kushiriki
* Awe raia wa Tanzania.
* Awe na umri usiozidi miaka 20.
* Awe na NIDA au aje na cheti halisi cha kuzaliwa kwa ajili ya uthibitisho wa umri.
* Gharama za nauli, chakula na mahitaji mengine yote ni jukumu la mshiriki mwenyewe.
MUHIMU
HAKUNA MALIPO YOYOTE KWA AJILI YA KUSHIRIKI KATIKA USAILI HUU.
Usikose nafasi ya kuonesha kipaji chako na kuanza safari ya soka la ushindani ukiwa sehemu ya Geita Gold Football Club.
GEITA GOLD FC
βTUNATAFUTA NYOTA WA KESHO.β
10/07/2026
07/07/2026
20/06/2026
19/06/2026
19/06/2026
19/06/2026
19/06/2026
19/06/2026