31/05/2024
Simba SC wanakaribia kumsajili Elie Mpanzu (22) kutoka AS Vita Club, imethibitishwa. 🚨🇨🇩 Mazungumzo yakiwa yameendelea sasa huku kukiwa na maelezo machache tu yaliyosalia ili hatua hiyo ikamilike. Mpanzu atakuwa mchezaji wa kwanza, Simba itasajili kabla ya msimu ujao. Alikuwa kwenye orodha ya skauti tangu msimu uliopita. Mchezaji anayeweza kufanya kazi pande zote mbili. Alimaliza msimu akiwa DR Congo akiwa na mabao 11. ✨
23/03/2024
• El Shenawy
• Aliou Dieng
• Hussein El Shahat
• Emam Ashour
• Yasser Ibrahim
Orodha ya wachezaji majeruhi kutoka katika kikosi cha Al Ahly ambayo inatarajiwa kuwa na mchezo wa ligi ya mabingwa africa dhidi ya Simba wiki ijayo. 🚨
Al ahly huenda wakawakosa nyota hao katika mchezo wa mkondo wa kwanza utakaopigwa machi 30/2024
05/09/2023
I've received 100 reactions to my posts in the past 30 days. Thanks for your support. 🙏🤗🎉
03/09/2023
Simba sports club itakutana na Al Ahly kwenye robo fainali ya kwanza ya ufunguzi wa mashindano ya Africa Football League
Ambapo mechi ya mkondo wa kwanza itachezwa tarehe 20/10/2023 uwanja wa BENJAMIN MKAPA Tanzania
Huku mechi ya mkondo wa pili itachezwa tarehe 24/10/2023 huko mjini Cairo Misiri
Kaa tayari kwa taarifa mbalimbali za michezo kutoka kwa
24/08/2023
Ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ukiwa unaendelea, Mkandarasi anaendelea katika maeneo kadhaa ikiwemo taa za uwanjani.