03/04/2026
Takwimu za Jeanine Mukandayisenga Kwenye Ligi Kuu Wanawake Tanzania 2025-26
๐๏ธMichezo 12
โฝMabao 18
๐ฅ Hat trick 2
โฐDakika 1080
Kinara wa Mabao Yanga Princess
Kinara wa Mabao Ligi Kuu
Neno moja kwa JEANINNE MUKANDAYISENGA๐๐ฐ
18/03/2026
Kikosi cha TRA dhidi ya wananchi
18/03/2026
Kikosi cha Young Africans Sports Club dhidi ya TRA
nani ataondoka mbabe toa maoni yako
26/04/2024
CAF CHAMPIONS LEAGUE
Kikosi Cha Mamelodi Sundowns kinachoanza Didhi ya Esperance de Tunis.
Mechi ni Saa Tatu usiku. Kumbuka mchezo wa kwanza Mamelodi Sundowns alipoteza goli 1-0 akiwa Ugenini.
26/04/2024
Mambo yanaanza kuchangamka si muda, naombeni mnifollow kwa taarifa za uhakika
09/04/2024
WASAUZ KUIBOMOA YANGA! ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Kwa mujibu FARPost, jukwaa la habari za michezo la mtandaoni la Afrika Kusini, wamewataja nyota watano wa Yanga ambao wanazivutia zaidi vilabu vya Afrika Kusini DStv Premiership na pengine wakasajiliwa huko msimu ujao.
Hii ni baada ya Yanga kusimama imara dhidi ya Mamelodi Sundowns katika michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kiasi kulazimika kuondolewa kwa mikwaju ya penalti baada ya dakika 180 za ujumla zisizo na mbabe.
Kwa mujibu wa FARPost, nyota hao watano ni;
1. Djigui Diarra ๐ฒ๐ฑ (Golikipa)
2. Stephane Aziz Ki ๐ง๐ซ (Kiungo mshambuliaji)
3. Ibrahim Hamad ๐น๐ฟ (Beki wa Kati)
4. Maxi Nzengeli ๐จ๐ฉ (Kiungo mshambuliaji)
5. Yahya Mudathir ๐น๐ฟ (Kiungo)
Yanga kazi ipo
08/04/2024
... ๐ฃ๏ธ "๐๐ก๐ ๐ ๐๐ง๐๐ง๐๐ญ๐ข ๐ฌ๐ ๐๐๐๐๐"
"Mtu anayefurahia Yanga SC kutolewa kwenye robo fainali CAF champions league huyo ana matatizo ya akili"
ยฉ๏ธ Ismail Aden Rage
Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC
07/04/2024
SEMI FINAL CAF Champions League
Esperance de tunis vs Mamelod sundown
Tp mazembe vs Ahly
07/04/2024
.ASEC MIMOSA YATOLEWA HATUA YA ROBO KWA PENALTIES
CAF Champions League
๐ฉ ๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ : Penalty Shootout
ASEC MIMOSAS ๐จ๐ฎ 2๏ธโฃโ๏ธ4๏ธโฃ ESPERANCE ๐น๐ณ
โ
๏ธ Mofosse โ
๏ธ Merriah
โ๏ธ๏ธ Kouame โ
๏ธ Bouchniba
โ๏ธ Salifou โ
๏ธ Teka
โ
๏ธ Pokou โ
๏ธ Tougai
โ๏ธ Esperance itacheza na Mamelodi nusu CAFCL
06/04/2024
AMEANDIKA DIARA KWA UCHUNGU MKUBWA.๐ด
๐ต "Ninajivunia hii timu na kundi hili. Tulifanya kila linalowezekana kufikia lengo letu lakini hatukuweza kuyafikia ๐ข.Kwa mara nyingine tena sisi ni miongoni mwa waliobora ,lazima tuendelee ili kuongeza juhudi zetu mara dufu maana kwa hakika ipo siku furaha tunayoitafuta sana itafika.
Asante sana wanayanga wote kwa sapoti yenu kila siku .
Shukrani kwa Watanzania wote kwa upendo ๐๐๐ฐ" -DIARRA
06/04/2024
Tp mazembe amefanikiwa kutinga nusu fainali ya Clab bingwa Africa CAF Champions League kwa kumuondoa Petro de luanda kwa matokeo ya (1: 2)
Petro de luanda ambao hawakuruhusu goli katika michezo yote waliyocheza nyuma ikiwa ni michezo saba.
Hongera kwa kunguru weusi TP Mazembe ๐ช