warm_up_pub_n_cuisine_iringa

warm_up_pub_n_cuisine_iringa

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from warm_up_pub_n_cuisine_iringa, .

05/04/2026

EASTER PARTY It’s going to start 🔥🔥🔥

05/04/2026

PASAKA PARTY ndani ya na Rooftop

Hakuna Kiingilio

28/03/2026

Tunaanza saa 7 Choma Choma Saturday huku Party likiendelea hadi Majogoo na leo tukiwa na Guest Dj pamoja DJs wetu wa kila siku.

27/03/2026

Weekend Imefika na K**a kawaida tukutane mjini WARM UP pamoja na WARM UP Rooftop kwenye Ushuani Kareoke ya Kinyamwezi na pia tunafanya K**a vile ambavyo uwa tunafanya weekend nyingine zote

Hakuna Kiingilio

Photos from warm_up_pub_n_cuisine_iringa's post 24/03/2026

Twisted Tuesday ya Ushuani Rooftop

23/03/2026

Na hivi ndivyo tunavyoanza wiki ndani ya Warm Up Rooftop kuanzia leo na Jumatatu zote utaweza kujipatia na huku ukisindikizwa na mziki wa tararibu kutoka Kwa DJs wetu.

Warm Up Rooftop tunasema

22/03/2026

Tuanze kusogea ndani ya tuimalizie Eid Pili

Photos from warm_up_pub_n_cuisine_iringa's post 22/03/2026

Sunday Kareoke ya Leo tutaimba ushuani, Njoo Uenjoy ladha ya tofauti ukiwa Ghorofani, Karibu ndani ya

21/03/2026

Njoo Uishi Kishua ndani ya Hakuna Kupoa, Tunakutana Leo kwenye Party ya Eid tutakuwa wapi Warm Up na Rooftop

Photos from warm_up_pub_n_cuisine_iringa's post 20/03/2026

The Waiting Is Over

Hakuna tena kusubiri, tunakutana leo kwenye Grand Opening ya Warm Up Rooftop, Njoo uone utofauti na upate ladha tofauti ambayo haujawahi kuipata ndani ya Iringa

Huu haijawahi kutokea, Tukutane leo ndani ya Rooftop

Photos from warm_up_pub_n_cuisine_iringa's post 16/03/2026

This Weekend 🔥🙌

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility?

Website