Mgungile Media

Mgungile Media

Share

Nyumba ya Michezo Pata habari za michezo zisizo na shaka ndani yake, kwa urahisi na haraka.

09/12/2025

LUIS MIQUISSONE KURUDI SIMBA

Kuelekea dirisha dogo la usajili Januari 2026, Simba SC tayari imefanya mawasiliano ya awali kumrejesha kikosini Luis Miquissone.

Kuna uwezekano mkubwa Joshua Mutale akatolewa kwa mkopo endapo atakuwa tayari ama kuvunjiwa mkataba. Kumpisha Luis.

Kwa nini Miquissone? Kwa Mujibu wa mmoja wa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, ni kwamba walichoangalia kwa kina na wanaona kina mashikoโ€ฆ.

1. Ni fomu yake ya sasa ndani ya UD Songo plus numbers.

2. Pili uzoefu wake Ligi ya Bongo na kuyajua mazingira kwa ujumla. Pia anaujua utamaduni wa Simba.

3. Tatu anatwanga mashindano ya CAF kwa kuwa timu yake haikushiriki tofauti na wachezaji wengi wazuri waishatumika na timu zao ngumu kuwatumia tena msimu huu. Kanuni za CAF zinawabana.

Photos from Mgungile Media's post 09/12/2025

MANENO YA FADLU DAVIDS BAADA KUISHA KWA MSIMU WA NBC PREMIER LEAGUE 2024/25.

"Mambo mengi yameharibika nje ya uwanja msimu huu na hiyo inatukatisha sana tamaa."- Fadlu Davids.

"Sasa inabidi tukae sisi na viongozi ili kuona k**a malengo yao yanalingana na yangu kisha tuamue jinsi ya kusonga mbele."- Fadlu Davids.

Photos from Mgungile Media's post 22/10/2025

Mtupatie na pesa za marejesho ili tupate mzuka wa kushangilia zaidi ๐Ÿ˜

Ukweli mchungu Tanzania kuna timu moja kubwa Sc Tanzania basi.

21/10/2025

Mmoja alikuja kukata umeme , mwingine akaja kulainisha mchezo na mwingine kumaliza mchezo kwa kamba mbili safi na kufanya wanalunyasi wafurahie pira tattoo/mafegi bila vyeti๐Ÿ˜‚

21/10/2025

DIMITAR PANTEV ๐Ÿฆ

Ujuzi/akili ni bora kuliko vyeti โœ๏ธ

19/10/2025

Bila kumkosea heshima Fadlu, Simba walichelewa sana kumpata Pantev

Hili soka ๐Ÿ”ฅ๐Ÿฆ๐Ÿ’ช

Photos from Mgungile Media's post 19/10/2025

Pale Silver Strikers kuna huyu Mwamba wakuitwa UCHIZI VUNGA ๐Ÿ”ฅ asifananishwe na wale matapeli wa pale jangwani ๐Ÿ˜

Kocha la mwaka wa mbele kawa mbuzi wa kafala tu, Yanga ina matatizo mengi sana kwenye uongozi ni vile tu inapata matokeo ndani ya uwanja. Siku siyo nyingi tutayajua madudu mengi.

02/09/2025

U*i wa Mnyama Simba ๐Ÿฆ๐Ÿ”ฅ

01/09/2025

U*i wa Mnyama ๐Ÿฆ๐Ÿ”ฅ

09/08/2025

MPINZANI WA SIMBA SC HATUA YA AWALI

Gaborone United ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผv Simba SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Mshindi wa Mchezo huo atakutana na mshindi wa

Simba Bhora ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ v Nsingizini Hotspurs

Photos from Mgungile Media's post 07/08/2025

SIMBA DAY

Simba Sports Club itafanya tamasha lao la SIMBA DAY, siku ya Jumapili ya Septemba 07, 2025.

U*induzi wa jezi mpya za msimu huu wa 2025/2026 unatarajia kufanyika Agosti 25, 2025 wiki mbili kabla ya SIMBA DAY.

31/12/2024

๐ŸšจKocha Mkuu wa klabu ya Simba SC, Fadlu Davids ameuambia Uongozi wake kuwa umtafutie Kiungo ambaye atachukua nafasi ya Winga Joshua Mutale

Simba SC imepokea ombi hilo na imeshamueleza Joshua Mutale kuwa kuna mchezaji mpya ambaye wapo wanakamilisha taratibu zote za makubaliano.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Iringa?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Kihesa
Iringa
162IRINGA