Mazoezi Ya Mwili Na Afya

Mazoezi Ya Mwili Na Afya

Share

Kwaajili ya wanaopenda/kuhitaji; nafanya sana mazoezi tofauti tofauti ya mwili. Karibu tushauriane, A Medical doctor who loves physical fitness

02/11/2022

Kwa wale ambao hufanyia mazoez gymnasium(gym), namimi nafanyia mazoezi gym siku hizi. Nakwenda mara 3 mpaka 5 kwa wiki. Kila niendapo natumia lisaa limoja na nusu mpaka mawili na nusu. Lakini pia bado nakimbia mara 4 kila wiki na mara moja kati ya hizo 4 huwa nakimbia umbali usiopungua kilometa 21🀝🏿🀝🏿

13/09/2022

Kukimbia

24/06/2022

Kukimbia&Mazoezi adidas Running

23/04/2022

Mazoezi na lishe bora.
Kufanya mazoezi mara 3 au zaidi kwa wiki, kula kwa kiasi makundi yote ya vyakula, kunywa maji mengiπŸ˜‹πŸ˜‹

11/03/2022

Kufanya mazoezi kunahitaji ulaji sahihi ili kufanye kazi vizuri. Usile kupita kiasi ukidai kwamba unastahili kisa tu huwa unafanya mazoezi. Utaishia kuwa fiti peke yake na utaukosa muonekano stahiki kuendana na kiwango cha mazoezi unayoyafanya. Kula mlo kamili kwa kiasi sahihi na epuka kula kula bila sababu au mpangilio

16/02/2022

Umefanya mazoezi leo??

11/02/2022

Ukiachana na afya, kufanya mazoezi kutakupatia muonekano bora kabisa wa mwili wako kuanzia ukiwa hujavaa nguo😁😁 mpaka ukiwa ndani ya mavaziπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿

28/11/2021

1. Unaruka kamba dk15
2. Unafanya push-ups 30+20
3. Unaruka kichura mara 150
4. Jumping jacks 50
5. Mountain climbers 50
6. Squats 30+20
7. Burpees 30+20
8. Unamalizia na mazoezi aina hata 3 hivi ya tumbo,, mara 20+20+20

30/10/2021

Baadhi ya manufaa ya kukimbia

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Iringa?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Makorongoni
Iringa