ROBY MEDIA

ROBY MEDIA

Share

Robert mabena

30/12/2025

Usisahau kufollow kwa updates zaidi 👉 Follow ROBY MEDIA kwa habari kali kila siku

30/12/2025

👉 Follow ROBY MEDIA kwa habari kali kila siku

30/12/2025

🔥 TAARIFA RASMI YA UJIO WA LIGI 🔥
ROBYMEDIA MASHABIKI CUP 2026
(Maarufu k**a ROBYMEDIA CUP)
ROBY MEDIA kwa kushirikiana na mashabiki wake wote, inapenda kuwatangazia rasmi ujio wa LIGI KUBWA na YA KIPEKEE ijulikanayo k**a:
🏆 ROBYMEDIA MASHABIKI CUP 2026 🏆
Ligi hii inalenga kuwakutanisha vipaji vya soka, kuimarisha umoja wa mashabiki, na kuendeleza vipaji vya vijana kupitia michezo ya ushindani, burudani na zawadi nono.
⚽ MALENGO YA LIGI:
Kukuza vipaji vya soka kwa vijana
Kuunganisha mashabiki wa ROBY MEDIA
Kutoa burudani bora kwa jamii
Kuibua nidhamu, mshik**ano na ushindani wa haki
🏆 ZAWADI:
Washindi wa ligi watapata:
Kombe la ROBYMEDIA CUP
Medali na vyeti
Zawadi mbalimbali (zitakazotangazwa rasmi)
📅 Tarehe, maeneo na masharti ya ushiriki vitatangazwa hivi karibuni kupitia majukwaa rasmi ya ROBY MEDIA.
📢 KA TAYARI, KA JIANDAE!
Hii si ligi ya kawaida — ni ligi ya mashabiki, ni ligi ya vipaji, ni ROBYMEDIA MASHABIKI CUP 2026.
🙏 Ahsanteni sana mashabiki wetu kwa sapoti yenu kubwa.
Endelea kufuatilia ROBY MEDIA kwa taarifa zaidi.

24/12/2025

🎄 *HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2026!* 🎉

Tunapofunga mwaka huu, tungependa kutoa shukrani za dhati kwa wewe unayetuunga mkono kila siku.

Asante kwa kuwa sehemu ya safari ya *ROBY MEDIA* — kupitia maudhui yetu, simulizi, vipindi na ubunifu unaogusa maisha.

Tunakutakia wewe na familia yako *Krisimasi yenye upendo, amani, na furaha*. Na mwaka mpya uliojaa afya njema, mafanikio na baraka tele.

2026 ni mwaka mpya wa ubunifu zaidi, vipindi bora zaidi, na mafanikio makubwa zaidi – tukiwa pamoja na wewe.

*Powered by: ROBY MEDIA*

*– Tunabeba Sauti ya Jamii*

24/12/2025

Mnakumbuka nin mkiona vilio vya vaileth na manyanya????? Weka comment ako apo chini

22/12/2025

Kati Ya Nandy Na Zuchu Nani
Amependeza Zaidi Akiwa Amevaa Hijab

20/12/2025

Wapo waliochelewa kufikia ndoto zao, sio kwa sababu wana UWEZO MDOGO, la hasha...

Wana uwezo mkubwa, ila kilicho wachelewesha ni ile KUAMINI kuwa...

..MAFANIKIO ya mwingine yanamzuia yeye kutimiza malengo yake.

Imani hii potofu imewaingiza wengi kwenye changamoto kubwa mbili:

Moja, wameingia katika KUCHUKIA badala ya kujifunza.

Maisha yanaongozwa na kanuni.

Mfano, ukimuona aliyefanikiwa kwenye biashara jiulize alitumia kanuni gani?

K**a hauilewi ya kwake nenda katafute ya mwingine.

Mbili, Imani hii inaweza kukuingiza kwenye matamanio ya kutaka kumuona mwingine akianguka.

Na usipokuwa makini utaanza kutengeneza hila, kumzushia na kumuwekea mitego ili afeli.

Hii yote inatokana na imani kuwa anguko lako litakuwa faida kwako.

Usisahau kuwa, uwepo wa ndege moja angani hauizui ndege nyingine kupaa.

Jenga Uwezo, Tengeneza Thamani, Fanya kwa Muendelezo.

Sky is not the Limit.

K**a umependa makala hii tafadhali share na wengine.

✍️ Robert Andreas MABENA ,

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Iringa?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

http://www.youtube.com/@Robymedia

Address

Wangingombe
Iringa