02/10/2026
๐จ Rio Ferdinand on Cristiano Ronaldo:
โWhere was Portugal before Cristiano Ronaldo? What had Portugal ever done? What tournaments did they qualify for, let alone win?
What pi**es me off is people judging him based on his last 3โ4 years, when heโs still putting up incredible numbers for a player of his age, regardless of the league.
Look at his time at Juventus, Real Madrid and Manchester United โ thatโs three world-class careers in one player.โ
------------------------------------
๐จ Rio Ferdinand Kuhusu Cristiano Ronaldo:
โUreno ilikuwa wapi kabla ya Cristiano Ronaldo? Ureno ilikuwa imewahi kufanya nini? Ni michuano gani ilikuwa imewahi kufuzu, achilia mbali kushinda?
Kinachonikera ni watu kumhukumu Ronaldo kwa kuangalia miaka yake 3โ4 ya mwisho tu, wakati bado anaendelea kuweka takwimu za kushangaza kwa mchezaji wa umri wake, bila kujali anacheza ligi gani.
Tukiangalia kipindi chake Manchester United, Real Madrid na Juventus โ huyo ni mchezaji mwenye โcareerโ tatu za kiwango cha dunia ndani ya mchezaji mmoja.โ