Sisi ni soka

Sisi ni soka

Share

Ukurasa huu NI kwajili ya habari za sporting tu

04/06/2023

Kipa la πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ’šπŸ’›πŸ–€βš½βš½πŸ”°

22/05/2023

Timu ya Wanachi Imeonyesha Niaya kutaka kumsajili Mshambuliaji wa


Nyota Huyo raia wa Afrika Kusina Amefunga mabao 6 kwenye Akilingana na
wa ,__$$$

22/05/2023

Profile pictures 24/12/2020
15/12/2020

"Tutakuwa makini kusajili Wachezaji watakaoisaidia timu,wapo Wachezaji ambao tutawatoa kwa mkopo,lakini pia kuna ingizo jipya la Wachezaji,
Injinia Saidi Hersi, dirisha la usajili limefunguliwa leo

Wakati huo huo klabu ya Yanga leo itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya klabu ya Singida United, Nyota mpya Saidoo Ntibazonkiza atacheza Mchezo huo.

15/12/2020

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Haaland ameshinda Tuzo ya Golden Boy 2020

15/12/2020

Asey jana akichomoa betri Chamazi jioni kabisa

Photos from Sisi ni soka's post 16/04/2020

Kiungo wa zamani wa Barcelona Seydou Keita Ameto msaada wenye thamani ya Pauni €45000 katika nchi yake ya Mali,,hii NI katika kupambana na janga la ugonjwa wa Corona ulioikumba dunia,

Ametoa mifuko 611 ya mtama,mifuko 300 ya Sukari na madumu 100 ya mafuta,,


15/04/2020

Arsenal wametenga dau la β‚ΉUro Milioni 43.3 kuhakikisha wanamsajili kiungo wa Atretico Madrid Raia wa Ghana ikiwa pia kiungo huyo mwenye nguvu anatakiwa kwa na vilabu vya Chelsea na Man United,,,,,,,,

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kahama?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Wwwsisinisoka. Com. Tz
Kahama
KAHAMA