26/01/2026
....habari za asubuhi mnama tumekuletea padlock za mtumba imara sana boss caton ina pc 100, padlock moja ni 5000@1 tu!. Caton 500,000/=.
Jipatie spea za baskeli kwa garama nafuu zaid
26/01/2026
....habari za asubuhi mnama tumekuletea padlock za mtumba imara sana boss caton ina pc 100, padlock moja ni 5000@1 tu!. Caton 500,000/=.
21/01/2026
Cable brake caton ina pc 500, pc moja 600@1 caton moja 300,000/= ubora umezingatiwa boss karibu tufanye kazi.
18/01/2026
.... grese ndoo moja kubwa iliyojaa hadi juu jabisa 200,000/= boss, tunazo za kutosha kabisa ila zinaisha haraka sana wahi tajiri yangu... tunapatikana kahama mjini karibu na mashine za mpunga, tunazopia grese za kopo kwenye caton zinakaa kopo 40 bei 5000@1 caton moja ina makopo 40, yani katon 200,000/= tu!.
15/01/2026
... tumekuletea mipira ya kufunga mizigo imara sana tunayosaizi zote na ainazote iko utakayouza wewe 500, iko utakayouza 1000, na iko utakayouza 2000 bei tutakazo kuuzia sisi ni nzuri sana faida ni zaidi ya bei ya kununua.
07/01/2026
Champion
31/12/2025
..ubora ndiyo nguzo yetu kuu katika utendaji mnama karibu sana tufanye kazi... kwanzia kesho hadi tarehe 22mwezi wa kumi na mbili mwaka 2026 kwa uwezo wa Mungu ofisi zetu zitakuwa wazi bila kufungwa hata siku moja boss, karibu sana tufanye kazi.
31/12/2025
....boss umeshindaje nina grese safi sana ina ujazo wa hali ya juu mno, naiuza bei njema sana 5000@1 caton 200,000/= ina pc 40, karibu tufanye kazi tajiri yangu caton ina pc 40.
21/12/2025
...umemakaje mangi leo nimekuletea p**o ya mtumba, imara sana mnama unaipata dukani kwa bei njema sana karibu tufanye kazi boss, bei imepoa mno wahi zinaisha haraka.
21/12/2025
...umeamkaje mnama leo nimekuletea taa ya mwanga mweupe ya mtumba imara sana boss tunazo taa za sola na za kusugua zote za mtumba, BEBA NYINGI KWA PUNGUZO KUBWA KARIBU TUFANYE KAZI MNAMA.
17/12/2025
...ebanaeee leo bhn nimekuletea tairi size 26 M.T.B fule CAT imara sana mnama unaipata dukani kwa bei njema sana boss wangu karibu tufanye kazi UBORA NI WA HALI YA JUU SANA if it's not genuine it's not US.