E. E. Sagalan

E. E. Sagalan Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from E. E. Sagalan, Sport & recreation, E. E. Sagalan, Kasamwa.

⚽⚽ vip wadau wa soka la tanzania mnaionaje tarehe 15/6/2025  ecom@
31/05/2025

⚽⚽ vip wadau wa soka la tanzania mnaionaje tarehe 15/6/2025

ecom@

26 vs 34Namba ipi yenye mpira na ubunifu wa kutengeneza nafasi na kucheka na nyavu uwanjani   ecom@.
30/05/2025

26 vs 34
Namba ipi yenye mpira na ubunifu wa kutengeneza nafasi na kucheka na nyavu uwanjani

ecom@.

👑.....""""Chanzo changu cha kuaminika kimefichua suala linalo husiana na usajili wa elie mpanzuInaelezwa kua ELIE MPANZU...
14/05/2025

👑.....""""Chanzo changu cha kuaminika kimefichua suala linalo husiana na usajili wa elie mpanzu

Inaelezwa kua ELIE MPANZU 24 hakusajiliwa simba bali alitolewa kwa mkopo wa miezi sita ambapo itatamatika mwishon mwa msimu huu june 30 2025

Pia meneja waHabari na mawasiliano wa club ya As vita amesema kua mda wowote mchezaji huyo atahitajika kwenye club yake mwishon mwa msimu huu imeelezwa

@.🎆

👑.....''''''Arsenal yatenga€100m kwaajili ya kufanya usajili na itauzawachezaji baadhi ili kkukizi pesa ya usajili wa ms...
14/05/2025

👑.....''''''Arsenal yatenga€100m kwaajili ya kufanya usajili na itauzawachezaji baadhi ili kkukizi pesa ya usajili wa msimu ujao

Pia imesema ina iman itafanya vizury msimu ujao japo k**a malengo yao yataenda vizury umesema uongozi wa club hiyo

👑......'''''''KARIBU katika kurasa zetu  .e.sagalancom@ kuwasilisha maoni yako katika kukasa zetu kupitia maada husika a...
11/05/2025

👑......'''''''KARIBU katika kurasa zetu .e.sagalancom@ kuwasilisha maoni yako katika kukasa zetu kupitia maada husika apo chin inayo mzungumzia goodluck gozbert

Toa maoni yako na yatajibiwa
.e.sagalancom@

Toa maoni yako kupitia kuras zetu za   com@ na yatajibiwa kwa wakati maalum kuhusu maada iliyo tajwa apo chin   NI NGOMA...
11/05/2025

Toa maoni yako kupitia kuras zetu za com@ na yatajibiwa kwa wakati maalum kuhusu maada iliyo tajwa apo chin

NI NGOMA IPI YA MWIMBAJI GOZBERT GOODLUCK IKIPIGWA HUA UNABARIKIWA SAAN

toa maoni yako

@

......'''''''Rasim kesho simba ipo kibaruani kukipiga hapo kesho zidi ya KMC katika dimba la KMC COMPLEX utakao pigwa ma...
10/05/2025

......'''''''Rasim kesho simba ipo kibaruani kukipiga hapo kesho zidi ya KMC katika dimba la KMC COMPLEX utakao pigwa majira ya 10:00 jion ninani ataondoka na point tatu kati ya simba na kmc

Yanga wapo mbion kukamilisha sain ya kocha wa orlando jose riveiro kuja kukinoa kikosi cha young africans ambacho kwa sa...
09/05/2025

Yanga wapo mbion kukamilisha sain ya kocha wa orlando jose riveiro kuja kukinoa kikosi cha young africans ambacho kwa sasa kinafundishwa na kocha mkuu miloud hamid

.......''''''Club ya arsenal yapanga kumuuza mchezaji wao raia wa brazil Gbriel martinel il kuongeza pesa za kuwez kufan...
08/05/2025

.......''''''Club ya arsenal yapanga kumuuza mchezaji wao raia wa brazil Gbriel martinel il kuongeza pesa za kuwez kufanya sajili kwa kujiandaa na msimu ujao kwa mshindano ya ligi pamoja na UEFA

......''''Al hilal yaingilia kati dili la mshambuliaji wa singida black star jonathan sowah raia wa ghana kuweza kuipata...
08/05/2025

......''''Al hilal yaingilia kati dili la mshambuliaji wa singida black star jonathan sowah raia wa ghana kuweza kuipata sain yake pia ikidaiwa watetez mabingwa wa ligi kuu tanzania yanga nao wapo mbion kuipata sain ya mshambuliaji huyo

Lakin inadaiw kua al hilal imeweka dau kubwa la pesa mezan il kuwazid yanga hivo kilicho baki pale ni maamzi ya viongoz na maamzi ya mshambuliaji kuchagua kua atajiunga na club ipi

Address

E. E. Sagalan
Kasamwa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when E. E. Sagalan posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share