soka

soka

Share

soka

01/05/2026

Nipo katika 3% bora ya mashabiki soka. Nilipata 955 kwenye orodha ya shughili zao za kila siku wiki iliyopita.

23/04/2026

Nipo katika 6% bora ya mashabiki soka. Nilipata 112 kwenye orodha ya shughili zao za kila siku wiki iliyopita.

18/04/2026

Wengi ujiuliza kwanini msanii Alikiba azowehi kuzungumza runga tafauti na swali leo katowa jibu kwenu wapenzi wa King Kiba Tanzania tuendelee kuisapoti chanili zetu zote timu king Kiba

07/04/2026

Naomba kujua kusu yanayo endelea uko kwenu

07/04/2026

Unajifuza nini kuhusu 20%

29/03/2026

duuuuuuu ���

28/03/2026
28/03/2026

Ukipata muda kaa chini kwa kutulia arafu jifanye umekosea jaribu kusikiliza wimbo mpya alio shilikishwa Alikiba na Bien wimbo huo unaitwa finale katika wimbo huo Alikiba amesikika akiimba Leo silali it's your birthday, agizia dorime, bili ya Ali, hakikisha hiyo bill asipewe mwingine, leo silali it's your birthday agizia dorime natamba Ali, ubavu chuma upande mwanaume mashine eeee

Harmonize Mala zote anapokuwa na kajala basi anakuwa kwenye kilele cha ubora wake, katika wimbo huo Harmonize ameimba Mimi mwenyewe najipongeza, najua kuchagua, na pale nilipo teleza, siku litawaka jua wakileta jealous na kutubeza ndio ukubwa tunakua, my babe these girls ain't loyal kumbe walitaka pesa nikawapa moyo babe these girls ain't loyal, wapenda sifuri nyingi niliwapa moyo

Daimond platnumz kwenye ukuu wake katika wimbo uitwao happy kwa ufundi wake amesika akiimba Leo ni party after party, simu zenu sizitaki I'm so happy to day

Ni nadra sana kushuhudia wale big three wakitoa nyimbo kwa pamoja, tena kwa wakiwa wamepishana masaa kadhaa, ndio wanangu hapa Kiba, pale harmo, na huku ni Daimond, kwako wewe upi ni wimbo wako bora kati hizi nyimbo tatu? soka soka FX

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kasulu?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Kasulu
SOKA