Mana2Kali Fc

Mana2Kali Fc

Share

MANA2KALI Fc Official Page πŸ”₯πŸ•ŠοΈ
Vurba Wembe 🟒βšͺ⚫
Nyarugusu Camp ⚽⚽
2016 πŸ†πŸ…

11/05/2026

πŸ†πŸ†

07/05/2026

R.BOKO 7πŸ”₯

04/05/2026

Hello πŸ‘‹ mabingwaπŸ†
Mana2Kali Fc vurba πŸ•ŠοΈπŸ”₯πŸ†

01/05/2026

Bomuuu πŸ”₯πŸ”₯
Mana2Kali Fc vurba πŸ†πŸ«‘

29/04/2026

Feba awataki kuamini mpaka sasaπŸ˜‚
Nimeamuwa kuwawekea Goal waone labda wanaweza kuaminiπŸ†

28/04/2026

⭐️⭐️
πŸ†πŸ†
Baada yakuchukuwa ubingwa wa 2 tumeongeza nyota ⭐️ nyingine kwenye logo yetu.
Logo Mpya ⭐️⭐️

Photos from Mana2Kali Fc's post 28/04/2026

Mana2Kali Fc vurba πŸ†πŸ†
Asanteni sana kwa kusapoti timu yetu ya Mana2kali kuanza mwanzo wa ligi mpaka kufanyikisha timu yetu kuchukuwa ubingwaπŸ†wa ligi hii.πŸ‘‡
Byam's Lk,Furahisha Mlondani,Jimmy Amisi,Jipon Jean-Pierre,Asese Jerome,Sadiki Kapi,Desire Bicuka, Eliasi Og,Carroll Mwenda Astefania Andiko,Bin Amisly,.!!!
Tunafaamu Aikuwa kazi rahisi ila mmejitowa kwa hali na mali ili kukamilisha jambo la timu yetu kunyakuwa ubingwa pongezi sanaπŸ†πŸ«‘.
Pia pongezi ziende kwa wale wote ambao wamejitolea kwa namna moja au nyingine ili kufanyikisha timu yetu kuchukuwa ubingwa .
Tuendelee kushikamana kwa pamoja ili timu yetu ya Mana2kali iendelee kubaki kuwa imara πŸ’ͺ🏾

27/04/2026

Watu wa Feba amkeni kumekucha tayariπŸ˜‚πŸ˜‚
Mana2Kali Fc vurba πŸ”₯πŸ”₯🫑

27/04/2026

Legends wa timu yetu ya Mana2kali wakiwa pamoja na Coach🫑.
Tunatambuwa mchango wenu kwenye timu yetu πŸ’ͺ🏾 endeleeni kuimiza vijana waendelee kupambana kwa ajili ya timu yetu pendwa Mana2kali Vurba πŸ”₯🫑

26/04/2026

Tunaweza kulala sasa wana mana2kali vurba πŸ•ŠοΈπŸ”₯πŸ†

26/04/2026

Tuzo 4 zimeenda kwa upande wetuπŸ”₯ na ubingwa πŸ†wa ligi.
1.Eustach/ Goalkeeper bora
2. Freddy/ Chipukizi bora
3.Dieu / Mchezaji bora
4. Kilozo/ Coach bora

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kasulu?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address

Nyarugusu Camp
Kasulu