๐๐๐1 ๐๐๐๐๐๐๐ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ข๐จ๐ง๐๐จ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ฅ๐ข๐ ๐ข ๐ค๐ฎ๐ฎ ๐ง๐ ๐ค๐๐ฌ๐๐๐จ ๐๐ฎ๐ฉ
Watani WA CAMP
D1 UMOJA FC.GHI1 FC BILOMBE.ALLIANCE DE FORCE.O3 ASKU.FEBA ESPOIR.AB1 SIMBA SC.CD3 GHETTO BOYS.Q1 MTETEZI.MAUNZO .
02/06/2026
Hili ndo kabati la El captain
31/05/2026
๐ช๐๐ง๐๐ก๐ ๐ช๐ ๐๐๐ ๐ฃ ๐ค
Kwa kushirikiana na Umoja wa Mpira wa Kambi,
tunaenda kufufua tena kumbukumbu za soka la Warundi ๐ง๐ฎโฝ
Tunawakumbuka kwa heshima kubwa club zilizowahi kutupa burudani na furaha kubwa kambini:
๐ฅ Miracle FC
๐ฅ Hodari FC
๐ฅ Power Boys
Na club zote za Warundi zilizowahi kufanya camp yetu iwe na ushindani, mapenzi ya soka, na mshikamano wa hali ya juu โค๏ธ
Kumbukumbu hizi hazitafutikaโฆ zitabaki mioyoni mwetu milele ๐ญ
31/05/2026
Karibu timu yene mafanikio makubwa katika kambi ya wakimbizi nyarugusu camp welcome to alliance ๐ฆ ๐ฆ de force mnyanka
28/05/2026
Umemfahamu nani kwenye picha iyo
27/05/2026
ASANTE SANA VIBRATION KWA KUSAPOTI VIPAJI VYA KAMBINI NYARUGUSU CAMP
24/05/2026
kuwatakia ndugu, jamaa na marafiki wote duniani heri ya Pentecost njema ๐. Iwe ni siku ya amani, upendo na mshikamano kwa watu wa dini zote. โค๏ธ๐ โ
NOUVEAU PION Q1 ๐ ASKU CITY 03
leo kwenye uwanaja wa mkapa e3
Mech day โฝโฝ๐ SELECTION VS NONDO 7 UWANJANI D1 UMOJA STADIUM SAA 10:00
10/05/2026
โฝ๐ฅ WATANI WA CAMP โ MAGOLIKIPA BORA WA SASA ๐ฅโฝ
1๏ธโฃ Heriertien
2๏ธโฃ Venas
3๏ธโฃ Onana Hassan
๐งค Hawa ni miongoni mwa makipa wanaofanya vizuri kwa sasa kambini kwa uwezo wao wa kuokoa hatari, mawasiliano uwanjani na kuipa timu utulivu mkubwa.
๐ฌ Wewe unaona nani ndiye namba 1 kwa sasa?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Kasulu