04/08/2022
Official announcement
Klabu ya simba imeachana na wachezaji wake watatu wa kimataifa. Baada ya makubaliano ya pande zote mbili kuafikiana
Page ii ya michezo tu
04/08/2022
Official announcement
Klabu ya simba imeachana na wachezaji wake watatu wa kimataifa. Baada ya makubaliano ya pande zote mbili kuafikiana
30/07/2022
Sadio mane leo ameshinda taji lake la kwanza akiwa na team yake mpya
30/07/2022
TAARIFA KWA UMMA
YANGA SC
30/07/2022
Club ya Barcelona wametangaza mechi yao ya mwisho ya pre season leo dhidi ya team ya REDBULL ya marekani
sorce: frankjrsports
30/07/2022
HT
Manchester city 0 - 1 Liverpool
30/07/2022
30/07/2022
TETESI: klabu ya juventus inawinda saini ya mshambuliaji wa Barcelona Memphis depay
Sorce:bbcswahili
30/07/2022
Uzinduzi wa wiki ya simba
31.7.2022
Mbagala zakhem
30/07/2022
Deal done
Mchezaji kassim haruna amejiunga na team ya NAMUNGO FC
fc
30/07/2022
Line-up
Liverpool ft man city
19:00 EAST AFRICA TIME
30/07/2022
YA KUFUZU CHAN TIMU YA TAIFA YA TANZANIA YA SONGA MBELE KWA USHINDI WA MOGOLI 2-1 ZIDI YA SOMALIA HIVYO KUPELEKEA USHINDI WA JUMLA KUWA 3-1