Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Julius Chacha, Stanley Mahushi, Sundwa Amos
Simba Sc
Simba SC News
Kazi yake si haba
06/01/2023
Kesho Jumamosi kikosi kitaondoka nchini kuelekea Dubai π¦πͺ kuweka kambi ya mazoezi.
Kambi hii ni mwaliko kutoka kwa Rais wa Heshima wa Simba, MoMohammed DewjieMohammed DewjiTaarifa zaidi kwenye Simba App.
03/01/2023
πΊMALENGO YA KOCHA KUBEBA UBINGWA WA CAF πΈβNimekubaliana na changamoto mpya. Ukiwaza makubwa unafanya makubwa, malengo ni kufika Nusu Fainali na hata fainali, inawezekana.β
Roberto Oliveira, Kocha Mkuu wa Klabu ya si ya SiSimba SC TanzaniaCSimba SC TanzaniaaSimba SC Tanzania....
03/01/2023
Kocha mpya wa makombe, tunaenda kuuonyesha na tunazidi kuuonyesha ulimwengu kuwa tunavunja mikataba ya makocha kwa sasa, hatuchukui wasiyo kuwa na timu
29/12/2022
Kutoka kwa Maulid kitenge.
Zinaweza zikawa ni habari njema kwetu wana Simba SC Tanzania
TETESI: Aliyekuwa kocha klabu ya Vipers SC, Roberto Oliveira raia wa Brazil huenda akaungana na mshambuliaji wake wa zamani wa Vipers SC na mshambuliaji wa sasa wa Dalian FC, Cesar Manzoki katika klabu ya Simba SC baada ya wawili hao kuhusishwa na Wekundu hao wa Msimbazi.
Kuna ripoti kuwa dili za wawili hao zimekamilika bado kutangazwa tu.
Je Oliveira na Manzoki wataungana huko Simba SC?
29/12/2022
Mkongwe wa soka wa Brazil Edson Arantes do Nascimento Pele amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 82 Sao Paulo Brazil baada ya kusumbuliwa na kansa kwa muda mrefu.
APUMZIKE KWA AMANI MFALME MWENYE HISTORIA YA SOKA DUNIANI
Daima atabaki kwenye historia huyu shujaa wa soka ulimwenguni kote.
25/12/2022
Inonga bado yupo sana ππππππππ π¦
Waliokuwa wanasema anaenda kwa wale wanaowaliza majirani wabishe na hili, hawezi kutoka kwenye klabu kubwa aende kwenye klabu ndogo k**a hiyo
24/12/2022
Karibu kwa wakubwa wa Afrika mashariki mwamba
24/12/2022
Saido ni Mnyama Rasimi
13/10/2022
"...Ni ngumu sana kushinda ugenini kwenye michuano hii ya Afrika, kikubwa ambacho kimetubeba ni kila mmoja wetu kujitoa zaidi kwa ajili ya timu jambo lililotupa tulichokikusudia. Tuna dakika nyingine 90, mchezo bado ni mgumu hivyo tutacheza k**a hatujashinda Ugenini.β
π Moses Phiri:
Mshambuliaji wa Simba Sc.
Click here to claim your Sponsored Listing.