Kibondo Youth Center

Kibondo Youth Center

Share

Lengo ni kukuza na kuendeleza vipaji vya soka kwa jinsia zote ⚽🏅⚽.

Kibondo youth center academy sports inapatika mkoani kigoma wilaya ya kibondo mjini kitongoji cha kumwerulo mtaa wa malagarasi uwanja wa shule ya secondary muhabwe 🦅⚽🦅
+255749495344

Photos from Kibondo Youth Center's post 27/08/2026

Kibondo finest Naku James Kazini NBC PREMIER LEAGUE Kagera sugar vs mashujaa fc ... 💪

25/08/2026

Kibondo youth center tunawatakia Watanzania wote heri ya sikukuu ya Maulid ya Mtume Muhammad (S.A.W).

24/08/2026

Wote wakali 🔥 Hii battle, ya Karimu bakiri na Yao Kouassi Leo ilikua inapendeza sana kuitazama .. 😄

22/08/2026

Kutoka Dar es salaam Amechagua kuja Kwa wabrasil Karakana ya vipaji , kuipambania safari ya ndoto zake ..

22/08/2026

Kutoka Jiji ambalo ukienda kumtembelea ndugu yako anakuuliza utakaa siku ngapi 😂 ? Jiji lenye joto utafikiri lipo karibu na Jehanam ,
Mpaka kwenye Mkoa wa wapambanaji Kigoma Tanzania , Karibu sana Goalkeeper wa mpira

19/08/2026

[FRAME 📸🥷
🧒 Sharif Juma
🏟️ Maestro
🎽KYC Boys

19/08/2026

[FRAME 📸🥷
🧒 Raymond Fabian
🏟️ Goal machine
🎽KYC Boys

18/08/2026

[FRAME 📸🥷
🧒 Raphael Daniel (SHUNDU)
🏟️ Kiungo mkabaji
🎽KYC Boys

18/08/2026

[FRAME 📸🥷
🧒Rahim Mbona
🏟️ Kiungo mshambuliaji
🎽KYC Boys

18/08/2026

FRAME 📸🥷
👸Zuwena Ladislaus
🏟️ Kiungo mkabaji
🎽KYC GIRLS

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kigoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Kibondo
Kigoma