11/05/2025
Safari ya vipaji imeanza! โฝ Kocha wetu kutoka Matwi Sports Academy ametembelea vijiji vya Kigoma k**a Sunuka, Mwakizega, Karago na Kamuyovu kwa lengo la kuibua na kukuza vipaji vya soka kwa watoto waishio vijijini.
๐ Tunaamini ndoto huanza kwa hatua ndogo.
16/04/2022
ya
Tunaendelea kuibua vipaji vya Vijana.
19/07/2021
Mkurugenzi na Mwanzilishi wa iliopo mkoani Kigoma ameikaribisha Timu ya na mkoani kwa ajili ya fainali ya kombe la shirikisho la Azam (ASFC)
Poste
31/03/2021
Matwi Sports Academy inakupongeza Mhe. Philip I. Mpango kwa kuwa makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
06/03/2021
Katiba yetu yenye miongozo yote
08/01/2021
MATWI SPORTS ACADEMY
tunapokea michango ya hiari kwa kuichagia timu
KUPITIA
CRDB Bank 015C549854200
NMB Bank 51610032363
TPB Bank 250209007790
KWA MAWASILIANO ZAIDI
+255744999975
+255737530419
06/12/2020
Matwi Sports Club inatangaza Rasmi kushiriki katika Ligi ya Mkoa wa Kigoma itakayoanza Desemba 2020.