kigoma SPORT update

kigoma SPORT update kigoma sport update �
Habari zote za NBC,Mashujaa fc na mpila duniani kutoka kigoma tz Hadi dunian�

🚩Mpango wa Manchester City kumsajili Enzo Fernández umeingia hatua mpya baada ya kifurushi cha awali cha £120 milioni ku...
17/08/2026

🚩Mpango wa Manchester City kumsajili Enzo Fernández umeingia hatua mpya baada ya kifurushi cha awali cha £120 milioni kuonekana kutotosha.

Kwa mujibu wa vyanzo, City italazimika kuongeza ofa ikiwa inataka kumnasa kiungo huyo wa Chelsea. Mazungumzo yanaweza kuwa magumu kutokana na thamani kubwa ya mchezaji huyo.

👀 Je, unaamini Manchester City inapaswa kutumia pesa nyingi kumsajili Enzo Fernández?

Tofollow kigoma SPORT update ili uwe wa kwanza kupata habar za michezo za uhakika

🚨💔 TAARIFA KUTOKA SIMBA! 🔴⚪️🧤 Mlinda mlango Djibrilla Kassali 🇳🇪 ameumia goti, huku Simba ikisubiri majibu ya vipimo kub...
17/08/2026

🚨💔 TAARIFA KUTOKA SIMBA! 🔴⚪️

🧤 Mlinda mlango Djibrilla Kassali 🇳🇪 ameumia goti, huku Simba ikisubiri majibu ya vipimo kubaini ukubwa wa jeraha. 🩺

😔 Ikiwa jeraha ni kubwa, itakuwa pigo jingine kwa Simba baada ya Ayoub Lakred 🇲🇦 na Yakoub Suleiman 🇹🇿 pia kukumbwa na changamoto za goti.

🙏🏾 Tunaombea Kassali apone haraka! ❤️‍🩹

Usisahau kufollow kigoma SPORT update ili uwe wa kwanza kupata habar za michezo za uhakika

⚽️ MASWALI YA KIGOMA ⚽️Kigoma tunawakilishwa na timu gani NBC Premier League 2026/2027?A: Mashujaa FCB: Hakuna mwakilish...
16/08/2026

⚽️ MASWALI YA KIGOMA ⚽️

Kigoma tunawakilishwa na timu gani NBC Premier League 2026/2027?

A: Mashujaa FC
B: Hakuna mwakilishi wetu
C: Najua timu nyingine...Comment 👇

Tag rafiki yako wa Kigoma aje kujibu 🔥

⚽NBC PREMIER LEAGUE 2026/27  Ligi inaanza tarehe 14/August 2026Hizo hapa timu zote 16 zitakazo shiriki league msimu huu👇...
16/08/2026

⚽NBC PREMIER LEAGUE 2026/27

Ligi inaanza tarehe 14/August 2026

Hizo hapa timu zote 16 zitakazo shiriki league msimu huu👇👇👇

MASHUJAA FC,. SIMBA SC,. YANGA SC,. AZAMFC,. SINGIDA BLACK STAR,. MBEYA CITY,. GEITA GOLD,. KAGERA SUGAR,. POLISI TANZANIA,. PAMBA JIJI,. NAMUNGO,. DODOMA JIJI,. JKT TANZANIA,. TRA UNITED,. FOUNTAIN GATE,. NA COASTAL UNION

Wewe unashabikia timu Gani? Comment hapa chini👇👇

Tofollow Kwa update zote za mpila wa kigoma SPORT update,Tanzania na dunia Kwa ujumla

kigoma SPORT update
sport update

Address

Kigoma
00000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when kigoma SPORT update posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category