14/12/2025
Mechi Imekwisha: Mbwamwitu fc 3-0 Kitahana fc
mchezo hu umemalizika dakika tisini (90) kwa Mbwamwitu fc kuibuka na Ushindi wa bao tatu
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mbwamwitu Fc Page, Sports Team, Kibondo, Kigoma.
Ukurasa rasmi wa Timu ya Mbwamwitu fc pia tunapatikana:-π
π€ Facebook | Mbwamwitu Fc Page
π€Instagram | Mbwamwitu Fc Page
π€ Youtube | Mbwamwitu Media
Tufuate kwa matukio yote ya michezo kuhusu Mbwamwitu πΉπΏ
14/12/2025
Mechi Imekwisha: Mbwamwitu fc 3-0 Kitahana fc
mchezo hu umemalizika dakika tisini (90) kwa Mbwamwitu fc kuibuka na Ushindi wa bao tatu
14/12/2025
HT: Mbwamwitu FC 1-0 Kitahana fc
Tutarudi kuongeza nguvu zaidi kipindi cha pili
13/11/2025
/2026: Muonekano wa timu zitakazo shiriki ligi ya mkoa wa Kigoma
11/01/2025
FLORENCE CUP 2025
MATCH DAY | SIKU YA MECHI
π Line Police(Kibindo)
π£ Saa 10:30 Jioni
ποΈ 11/01/2025
ποΈ Uwanja wa gemu, Moyowosi De Stadium
π Florence Cup 2025
10/01/2025
Mazoezi ya Mwisho kabla ya kucheza na Police (Kibondo)
Ni kesho Jumamosi Tarehe 11-01-2025
Usikose
09/01/2025
TAARIFA KWA UMMA
Malengo yetu yote sasa yapo Kwenye Ligi ya Mkoa wilaya Ya Kibondo
Imetolewa na
Afsa habari Mbwamwitu Fc
05/01/2025
Siku mbaya kazini, Haikuwa bahati yetu! π₯π₯
Full Time| Kajuna Fc 3-1 Mbwamwitu Fc
Tutarudi tukiwa imara zaidi
05/01/2025
: Dakika 09' Kajuna 1-0 Mbwamwitu Fc
Bado tunaendelea kupambana , Hari ya hewa si rafiki pia
05/01/2025
: Wanaume 11 watakao pambani mda sio mrefu dhidi ya Kajuna Fc hawa hapa.
05/01/2025
SIKU YA MECHI | MATCH DAY
π Kigoma Premier League | Ligi kuu mkoa wa Kigoma
ποΈ 05 January,2025
ποΈ Lake Tanganyika Stadium
π£ Saa 10:30 Jioni
π Kajuna Football Club
05/01/2025
Mazoezi ya Mwisho kuelekea mchezo wa Fainali ya ligi ya Mkoa Kigoma