24/08/2025
Mzee wa kuvivuruga
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from SIMBA VS YANGA, Stadium, arena & sports venue, Kigoma.
24/08/2025
Mzee wa kuvivuruga
28/01/2025
Dada yetu Christina mdomo utakuponza maana kwa simba hii mechi yake ngumu ilikuwa ahly tripol
27/01/2025
Jean ahoua moto wa kuotea mbali
21/12/2024
last born wa simba yuko moto sana
07/11/2024
ila taboraaaaaaaaaaaaaa
06/11/2024
Nouma kaonyesha kiwango bora sana dhidi ya kmc
06/11/2024
Jean Ahoua amekuwa man of the match kwenye mchezo dhidi ya kmc
17/08/2024
Mwamba huyu apa alisema kabla ya mchezo wa wananchi . YANGA kwamba anacheza na timu nzuri na sio kubwa hivyo watu eleweni neno timu nzuri. anamaanisha young africans ni nzuri kwasasa ila timu kubwa ipo kwenye orodha ya top ten africa na simba ikiwemo pia vipi hapo unaongezea neno gani🤔🤔