Manchester United 2013 EAC

Manchester United 2013  EAC

Share

MAUDHUI KUHUSU MANCHESTER UNITED PEKEE 🌍

Admin: Jr Futbal Master

01/09/2025

🚨 OFFICIAL..

Klabu ya Manchester United imethibitisha usajili wa golikipa Senne Lammens kutokea Royal Antwerp...

Karibu kijana

01/09/2025

(1) WAKALI WA WIKI WATOKEA UNITED ...

Bruno Fernandes na Bryan Mbeumo kutokea Manchester United ndio wachezaji pekee waliotengeneza nafasi nyingi kwenye wiki ya 03 ya English Premier...

✍️Bruno Fernandes alitengeneza nafasi (06) dhidi ya Burnley...

✍️Bryan Mbeumo alitengeneza nafasi (05)dhidi ya Burnley ...

WANYAMA 🥶

01/09/2025

KWANI HUYU DOGO ANATAKA AENDE WAPI?

Uongozi wa Manchester United umemwambia Kobbie Mainoo kwamba hawezi kuondoka Manchester United kwenye majira haya ya kiangazi...

Per Fabrizio Romano..

Baada ya michezo ya kwanza kupata ufinyu wa nafasi, Kobbie Mainoo aliomba kuondoka kwa mkopo, lakini ni ngumu kutoka sababu United haijapata kiungo mwingine na pia hakuna tetesi za kiungo kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika ...

ANABAKI 🥶

01/09/2025

🚨 MAJOR BREAKING ..

Klabu ya Manchester United imekamilisha dili la kumsajili golikipa Senne Lammens kwa ada ya uhamisho ya €21M ...

Dili la Emiliano Martinez limekufa rasmi, Lammens atafika Manchester United kufanyiwa vipimo na muda wowote kuanzia sasa atakuwa golikipa wa Manchester United...

Per Fabrizio Romano

01/09/2025

🚨MAJOR BREAKING ...

Klabu ya Aston villa ipo kwenye hatua nzuri ya kukamlisha usajili wa Jadon Sancho kutokea Manchester United kwa mkopo ..

Makubaliano baina ya klabu na klabu yamekamilika na pia upande wa mchezaji yanaendelea vizuri...

Per : David Ornstein...

01/09/2025

🚨 MAJOR BREAKING ...

Klabu ya Real Betis imekubali dili la kumsajili Antony Dos Santos kutokea Manchester United kwa ada ya uhamisho ya €22M na nyongeza ya €3....

Sio hivyo tu Manchester United pia itapewa pesa huko mbeleni k**a Antony akiuzwa na klabu ya Real Betis kwenda eneo lingine kwa asilimia 50 .....

Deal done and dusted, biashara yenye akili imekamilika ...

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kigoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Kigoma