Kitahana fc

Kitahana fc π•žπ•šπ•”π•™π•–π•«π•  π•Ÿπ•š π•’π•›π•šπ•£π•’ ,π•œπ•¦π•«π•’ π•œπ•šπ•‘π•’π•›π•š ,π•šπ•žπ•’π•£π•šπ•€π•™π•’ 𝕒𝕗π•ͺ𝕒 ⚽⚽⚽

RIP MWANASOKA MWENZETU 😭😭
11/07/2026

RIP MWANASOKA MWENZETU 😭😭

πŸ“’ TAARIFA RASMI YA MECHI πŸ“’Uongozi wa Kitahana FC unapenda kuwataarifu mashabiki, wadau na wapenzi wote wa soka kuwa kuta...
08/07/2026

πŸ“’ TAARIFA RASMI YA MECHI πŸ“’

Uongozi wa Kitahana FC unapenda kuwataarifu mashabiki, wadau na wapenzi wote wa soka kuwa kutakuwa na mchezo muhimu wa kirafiki/ushindani kati ya:

⚽ KITAHANA FC πŸ†š MAJENGO FC ⚽

πŸ“… Siku: Jumapili hii
⏰ Muda: 10:30EAT
πŸ“ Uwanja: KITAHANA

πŸ”₯ Huu ni mchezo muhimu sana kwa timu yetu, hivyo tunawaomba mashabiki wote mjitokeze kwa wingi kuja kutupa sapoti kubwa. Ushindi wetu unatokana na nguvu yenu!

πŸ’ͺ Wachezaji wetu wako kwenye maandalizi makali kuhakikisha tunapata matokeo mazuri. Nidhamu, kujituma na mshikamano vinaendelea kupewa kipaumbele kikubwa.

πŸ™Œ Pamoja tunaweza β€” Glory to Victory!



JE KUNA MWINGINE ZAIDI YA HUYU JAMAA ??πŸ₯ΊπŸ₯Ί
06/07/2026

JE KUNA MWINGINE ZAIDI YA HUYU JAMAA ??πŸ₯ΊπŸ₯Ί

Acha uchoyo mwanasimbaa mwagaa likesss kwa Simba SC Tanzania πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘
04/07/2026

Acha uchoyo mwanasimbaa mwagaa likesss kwa Simba SC Tanzania πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘

Mtawalaumu sana hao watu wenu mnaowaita the goatπŸ˜€..Huyu jamaa siyo tu anajua mpira bali  hata mpira wenyewe unamjua!! Wh...
04/07/2026

Mtawalaumu sana hao watu wenu mnaowaita the goatπŸ˜€..Huyu jamaa siyo tu anajua mpira bali hata mpira wenyewe unamjua!! What a world talent!
follow Triple A Og

🚨πŸ”₯ TANGAZO RASMI πŸ”₯🚨Baada ya mafanikio makubwa ya msimu uliopita…Sasa ni RASMI tena!!! πŸ’₯Mwenyekiti wa kijiji cha Kitahana...
24/06/2026

🚨πŸ”₯ TANGAZO RASMI πŸ”₯🚨
Baada ya mafanikio makubwa ya msimu uliopita…
Sasa ni RASMI tena!!! πŸ’₯
Mwenyekiti wa kijiji cha Kitahana (Jogagu) ametangaza kurejea kwa LIGI KUBWA na ya KUSISIMUA zaidi…
⚽πŸ”₯ JOGAGU PART 2 πŸ”₯⚽
πŸ—“οΈ Kuanzia mwezi wa SABA, 2026
Safari hii itakuwa ni moto zaidi, ushindani mkubwa zaidi, na burudani ya kiwango cha juu! πŸ’£πŸ”₯
πŸ“ Timu zitakazoshiriki:
πŸ‘‰ KITAHANA – Timu 4
πŸ‘‰ RUSOHOKO – Timu 3
πŸ‘‰ RUGUNGA – Timu 3
Kumbuka!!! πŸ†
Mabingwa wa Jogagu cup iliopita ni MUYAGA COMBINE πŸ’ͺπŸ”₯
Je, wataweza kutetea ubingwa wao au kuna timu mpya itachukua taji? πŸ€”
Mashabiki, wapenzi wa soka, na wadau wote…
Jiandaeni kwa mechi kali, presha, na burudani ya hatari! πŸ’₯
πŸ”₯ KITAWAKA SANAAAA!!! πŸ”₯
πŸ‘‰ JE, MKO TAYARI!!!? 😀⚽πŸ”₯

Follow πŸ‘‰ Triple A Og

Address

Kigoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kitahana fc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category