Kilimo Bora Chenye Tija

Kilimo Bora Chenye Tija

Share

Hii page ni kwaajili ya Kujifunza kuhusu Kilimo Bora Cha mazao yote
Kupata mafunzo na darasa kuhusu mazao mbalimbaali ya bustani.

0744795652 | 0652330841

21/05/2026

Fahamu kuhusu Mbegu ya Nyanya ya Big Rock F1
• Ni mbegu Bora sana inayofanya vizuri katika kanda zote na inavumilia Hali zote za hewa.
• Inazaa tunda kubwa na nene lenye Rangi nzuri sana ya kuvutia
• Ni mbegu ambayo inazaa tunda lenye ngozi ngumu/Ganda lake la nje gumu sana.
• Nyanya ya Big Rock F1 inaweza kukaa mpaka siku 21 tangu kuvunwa bila kuharibika hivyo ni rahisi kusafirisha na kuitunza kwa muda mrefu
• Nyanya ya Big Rock F1 ndani Ina nyama iliyoshikana vizuri
• Nyanya ya Big Rock kwa Ekari Moja ukihudumia vizuri inakupa zaidi ya michumo 10 yenye jumla ya Pallets/Kreti 800-1200 kwa msimu wa miezi mitatu mpk minne

Amua Leo kulima mbegu ya Nyanya ya Big Rock F1 kwaajili ya kipato kikubwa na kupeta sokoni hasa kukiwa na ushindani wa masoko ....

Karibu sana upate mbegu nzuri za nyanya za Big Rock F1... Tunapatikana Moshi Kilimanjaro na mikoani tunaagiza kwa uaminifu mkubwa sana kwa njia ya bus 🚌
0744795652 | 0652330841

Photos from Kilimo Bora Chenye Tija's post 21/05/2026

Karibu kwa mahitaji ya mbegu Bora sana za nyanya
Suluhisho lako ni Big Rock F1
Inazaa matunda mengi makubwa na yenye umbo Zuri..
Ina Ganda gumu hivyo rahisi kusafirisha na kuitunza kwa muda mrefu bila kuharibika..

Photos from Kilimo Bora Chenye Tija's post 22/02/2026

Karibu sana kwa mahitaji ya Mbolea ya maji ya Super Gro kwa bei ya kizalendo bei ya Dukani bila udalali Lita 5 utailipia 150,000/= nauli ni juu yangu mpaka mkoani kwako njoo inbox tufanye biashara au nichek Whatsapp number 0744795652 nitakupa na ushauri wa kitaalamu kuhusu kilimo Bure kabisa
Simu ziite 👇⬇️
0744795652 | 0652330841

24/01/2026

Mbegu nzuri za Tikiti zinapatikana kwa bei nzuri sana.
Jubilee F1
Jumbo F1
Sukari F1
karibuni sana
tunapatikana Moshi Kilimanjaro na mikoani tunaagiza kwa uaminifu mkubwa sana kwa njia ya bus 🚌🚌
0652330841 au 0744795652

Photos from Kilimo Bora Chenye Tija's post 10/01/2026

Karibu nikuuzie Mbolea ya Super Gro bei ya kizalendo bei ya Dukani bila udalali Lita 5 utailipia 150,000/= nauli ni juu yangu mpaka mkoani kwako njoo inbox tufanye biashara au nichek Whatsapp number 0744795652 au 0652230841 nitakupa na ushauri wa kitaalamu kuhusu kilimo Bure kabisa
Tunapatikana Moshi Kilimanjaro na mikoani tunaagiza kwa uaminifu mkubwa sana kwa njia ya bus 🚌🚌

Photos from Kilimo Bora Chenye Tija's post 09/01/2026

Mzigo umeshuka bei karibuni sana kwa mahitaji ya Miche ya kitunguu
Kwa bei ya shilingi 50,000/= tu kwa kitalu kimoja....
Tunapatikana Moshi Kilimanjaro na mikoani tunaagiza kwa uaminifu mkubwa sana kwa njia ya bus 🚌🚌
Karibuni sana
0652330841 | 0744795652

09/01/2026

Mzigo umeshuka bei karibuni sana kwa mahitaji ya Miche ya kitunguu
Kwa bei ya shilingi 50,000/= tu kwa kitalu kimoja....
Tunapatikana Moshi Kilimanjaro na mikoani tunaagiza kwa uaminifu mkubwa sana kwa njia ya bus 🚌🚌
Karibuni sana
0652330841 | 0744795652

06/01/2026

Karibuni kwa mahitaji ya Miche ya kitunguu
Tunapatikana Moshi Kilimanjaro na mikoani tunaagiza kwa uaminifu mkubwa sana kwa njia ya bus 🚌
0652330841
0744795652

Photos from Kilimo Bora Chenye Tija's post 18/12/2025

👇

🍅🍉 BIGROCK F1 & JUBILEE F1 – MBEGU BORA ZINAZOONGOZA TANZANIA 🇹🇿

Kwa wakulima wanaotafuta ubora, mavuno mengi na soko la uhakika,
👉 Bigrock F1 (Nyanya) na Jubilee F1 (Tikiti maji) ndizo chaguo linaloaminiwa zaidi Tanzania.

🍅 Bigrock F1 – Nyanya inayouza haraka
✅ Matunda makubwa, rangi nzuri, ngozi ngumu
✅ Hayapasuki, yanafaa kusafirishwa
✅ Inapendwa sana na madalali kwa hivo ununua kwa bei ya juu ukilinganisha na aina zingine
✅ Mavuno mengi na faida kubwa

🍉 Jubilee F1 – Tikiti maji yenye soko
✅ Matunda makubwa, nyekundu na tamu
✅ Inasafirishika vizuri
✅ Mahitaji makubwa sokoni
✅ Faida kwa mkulima na mfanyabiashara

🌱 Chagua Bigrock F1 & Jubilee F1
✔️ Ubora wa uhakika
✔️ Zinakubalika sokoni haraka
✔️ Zimejaribiwa Tanzania

📞 Wasiliana nasi leo upate mbegu halisi 0744795652 na 0652330841

Mikoani tunaagiza kwa uaminifu mkubwa sana kwa njia ya bus 🚌

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kilimanjaro?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Kilimanjaro